Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,373
- 95,226
Hii picha inazungumza yote, hebu mwangalie kulia Mkurugenzi Idara Habari Maelezo Assah Mwambene na kushoto Afisa mawasiliano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa unyenyekevu uliotukuka wakiwa wamejikunyata kama kuku aliyetoteshwa na mvua za vuli. Hapo walikuwa wakitoa zawadi ya shati kwa huyo mzungu Bw. David Wiggins.
Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!
.
Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!
.