Cyprian shayo
Member
- Sep 25, 2011
- 17
- 0
tangu juzi nilifunguka wazi kuwa nahitaji girlfrind.mbona imepuuziwa.contact 0782050530
Ulifunguka wapi?
Hatuna credit. . .
Tutumie vocha uone kama hatutakupigia mpaka uchoke.
tangu juzi nilifunguka wazi kuwa nahitaji girlfrind.mbona imepuuziwa.contact 0782050530
Hatuna credit. . .
Tutumie vocha uone kama hatutakupigia mpaka uchoke.
Typical Women!Hatuna credit. . .
Tutumie vocha uone kama hatutakupigia mpaka uchoke.
heee!mbona kama command jamani!weka sifa zako na za umtakaye na email address,otherwise msubiri aliye desperate asiyejua anahitaji mtu wa aina gani abahatishe kwako!
Hebu nikumbushe jinsi ya kutuma 'tafadhali niongezee salio'
Typical Women!
Lols!
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol
hahahah atakuwa mkurya huyu,na hapa sijui km atapata mtu tone yake imeonyesha ukali,mwishowe kaka wa watu atakuwa confused akidhani wadada hawampendi....kumbe anakosea kitu kidogo tu lol
tangu juzi nilifunguka wazi kuwa nahitaji girlfrind.mbona imepuuziwa.contact 0782050530
King'asti umenichekesha sana!Wewe usijali, keshafunguka upya. Hapa. Beep namba hiyo, mie nshamtumia tafadhali nipigie...