nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
Mimi binafsi nisipofahamu yafuatayo nitabaki mwananchi asiye na chama chochote, kwanza kwa nini chadema tuendelee kupanga jengo la makao makuu? Kwa nini tusijenge wenyewe? Je lini chuo cha uongozi cha chama kitajengwa? Je gazeti la chama litaanzishwa lini? Badala ya kuendelea kutumia gazeti la mh. Mbowe? Je kwa nini m4c zimesimama? Nisipopata majibu haya ya kuridhisha nitakuwa mwananchi huru without to support magamba or magwanda! Tanganyika kwanza!