Elections 2010 Tusifanyike waganga wa kienyeji kwenye mtandao baada ya uchaguzi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
kama mjuavyo uchaguzi uko karibuni na si muda tutapata rais aliechaguliwa na MUNGU kama tuaminivyo sauti ya MUNGU sauti ya watu
ni fuuraha yangu kuomba hata baada ya uchaguzi tuendelee kuwepo hapa ila tuangalie maneno yetu tsijeonekana waganga wa kienyeji kwenye mtandao..unajua akuna kitu kibaya kama kwenda kwa mganga akakushauri hiki na siku ya mwisho ukakikosa akika atatamani kujiua ama kukimbia vivyo hivyo si haba kuona lista ya wana JF ikipungua baada ya uchaguzi wa october.....chonde chonde wapenda tusijekuwa waganga wa kieneyeji baada ya MATOKEO..nawatakia kila la kheri
 
Baada ya uchaguzi mjadala mkubwa utakayekuwepo hapa JF ni CCM WALIIBA KURA!!!Akina Mwanakijiji watakuja na makala ELIMU YA URAIA BADO TANZANIA!!!nk nk
 
Back
Top Bottom