Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwa hyo mkuu hii kingroot haiwez saidia kuweka avast anti thief kwa siyo iliyo rooted
Hiyo app haina super user.
Hivyo app itakayo fanya kazi humo ni anti theft ambayo sio ya rooted ila simu iki fomatiwa nayenyewe itafutika.
 
Hiyo app haina super user.
Hivyo app itakayo fanya kazi humo ni anti theft ambayo sio ya rooted ila simu iki fomatiwa nayenyewe itafutika.
AIse so rooting gani sasa ndio bora mimi natumia Xperia z1 compact
 
Jamani niliunstall mobdro maana ilikuwa inastack Sana. Nataka ni download tena inagoma
 
Jamani niliunstall mobdro maana ilikuwa inastack Sana. Nataka ni download tena inagoma
Jaribu kudownload kuna link iko page ya kwanza hapa.
Ukishamaliza kuinstall itakutaka u update,inaweza kukubali.
Mimi kwangu ilikubali.
 
Jaribu kudownload kuna link iko page ya kwanza hapa.
Ukishamaliza kuinstall itakutaka u update,inaweza kukubali.
Mimi kwangu ilikubali.
ceefab5690cf607ec9818f82cfb84ac2.jpg

Inaniandikia hivyo
 
Nafikiri inategemea na type ya browser unayotumia kwenye simu yako.
Mimi nikifungua inakuja kama hapa chini.
35f21f504a650bf807ccba319ab156a5.jpg

The ukiclick download inakuja hivi
e6881626ff2d9d4285ec971211ab0ab1.jpg

Nilitumia hiyo UC Browser ndiyo imekubali....

Kama unatumia telegram nitumie contact nikutumie app package
Situmii telegram.Hamna namna nyingine
 
Back
Top Bottom