tupendane kwa namna hii, ilindoa zetu zijae faraja

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,833
Twafafanua upendo nana gani?
Imeandikwa, 1Wakorintho13:4-7 "Upendo
huvumilia, hufadhili, upendo hausudu;
upendo hautabakari; haujivuni; haukosi
kuwa na adabu; hautafuti ambo yake;
hauoni uchungu hauhesabu mabaya
haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja
na kweli huvumilia yote; huamini yote
hutumaini yote hustahimili yote; upendo
haupungui neno wakati wo wote bali
ukiwapo unabii utabatilika zikuwapo lugha
zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika kwa
maana tuna fahamu kwa sehemu na
tunafanya unabii kwa sehemu."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom