Tupeane tendo ata kama tumegombana

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,411
Viungo vyetu havihusiani na ugomvi au mgogodoro wowote uliojitokeza kwenye mahusiano yetu.

Kunyimana tendo la ndoa kisa tumetofautiana kwenye kauli, kutokukupa pesa au majukumu mengine inakuwa haina maana.

Kama mpenzi wako anahamishia hasira kwenye kukunyima tendo kisa mmetofautiana kwenye mahusiano yenu, pigeni chini.

Huu ndio ushauri wangu kwa leo.

ugomv.jpg
 
Back
Top Bottom