Tuorodheshe hapa mali za vigogo/CCM zinazostahili kutaifishwa pindi CCM wakitoka madarakani

Salary Slip umefanya la maana. Sasa mods hawa wangekua na chembe ya u Great Thinker basi wangeweka topic kama hii sticky! Ila haiwezekani. Sasa anzishe topic ya "namna za kumtomasa mwenzio kwenye mapenzi" asubuhi utaiona iko juu na high light ya njano!!

Home of Great Thinkers hio!!

Kuna mashamba naya jua Kilolo na Maeneo ya bwawani Morogoro. Pinda,rizone,Lukuvi na madam spika na wengine wengi wana eka sio chini ya elfu kila mmoja kilolo na moro!

(Mimi ninazo pia ila sijaiba na ni mia tu!)

Nyamgulu ha ha ha....


" (Mimi ninazo pia ila sijaiba na ni mia tu!)"

Mi naomba nusu Tu ya kukodi nlilime manake ajira ngumu mjini..
 
Last edited by a moderator:
Salary Slip ha ha ha....
" (Mimi ninazo pia ila sijaiba na ni mia tu!)"
Mi naomba nusu heka Tu ya kukodi nlilime manake ajira
ngumu mjini..
 
Last edited by a moderator:
Migodi yote inabidi mikataba ivunjwe iwe mali ya umma hatutaki usiri!Mkulu zile suti 5 alizo hongwa ni mali ya wananchi!Babu Seya na Papii waachiwe!wazee wa burudani zetu zirudi!Magari yote ya serikali aka mashangingi yauzwe!Mafisadi wote wanyongwe na malizao zote zitaifishe hata chu.pi zao!ni kodi zetu hizo!
 
Kama hapa ccm mkoa morogoro wanaeneo kubwa sana tokea kata ya saba saba mpaka kata ya uwanja wa taifa wamefungua kumbi tatu fremu zaidi ya 1000 soko la mnada wa sabasaba majengo ya ccm mkoa ofisi za ccm kata yaan nyie achanenu tu hata kama ni mali zao lakini sio kihivyo jamani kah!.
 
Wachochezi ni nyinyi mafisadi na wahujumu uchumi wakubwa mnaoamsha hasira za wananchi kwa vitendi vyenu vya kidhalimu huku bila aibu wala haya mkihubiri amani majukwaani kinafiki.

Watu wakisema ukweli wachochezi?Nyie msipotenda haki si wachochezi?Unafikiri kinachosababisha machafuko katika nchi nini kama sio matendo dhalimu ya watawala?

Ovyo kabisa na wanafiki wakubwa nyie wakoloni weusi!

IQ yako ndogo kweli unatokwa na pofu mdomoni kama umekunywa sumu ya uchochezi. Watu waliokata tamaa hatari kweli kwa usalama wa nchi. Fanya kazi kwa bidii utayaona mafanikio.
 
IQ yako ndogo kweli unatokwa na pofu mdomoni kama umekunywa sumu ya uchochezi. Watu waliokata tamaa hatari kweli kwa usalama wa nchi. Fanya kazi kwa bidii utayaona mafanikio.

Hata Nyerere aliitwa mchochezi na wakoloni bila kumsahau Mandela.

Kiama chenu kinakuja soon.
 
Back
Top Bottom