Tuongee Asubuhi: Star TV Ifanye Uchambuzi wa Wachambuzi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Nimetokea Kuvutiwa na Stesheni ya Luninga ya Star TV hasa vipindi vya Yasemavyo Magazeti na Tuongee Asubuhi; Ushauri Kidogo tu kwamba


  • Wamekuwa na Kawaida ya Kuwa na Wachambuzi walewale (kujirudia) ilihali mahali iliko stesheni (Mwanza/Dar na kwingineko) wangeweza kupata wachambuzi lukuki na mahiri kuliko hawa wanaowatumia kila siku



  • Ni vyema pia wafanye analysis ya wachambuzi ili waendane na mada husika si alimradi kwa kuangalia umahiri wa kuongea kwenye Luninag kwa sauti za Kiharakati, nimeguswa hasa na mzungumzaji wa leo kwenye mada ya BMK ambapo anaonekana hakua na hoja na kila mara kuingiza Ulokole zaidi kwenye mada jambo ambalo nahisi kabisa kuna watu watakua waliboreka


vinginevyo, nawapongeza sana na naamini mtaufanyia kazi ushauri huu na mwingine utakaotolewa na wachangiaji hapa
 
Back
Top Bottom