Sordo, tembea uone mambo kuna watu wengi duniani wanaishi maisha kama hayo hakuna siku atakaa ndani ya nyumba, kukija mafuriko hawatoki, joto kali na vumbi ndio maisha yao, temea chini!!!
hayo mbona ni ya kawaida india sasa hapo wakati niko pale tulikuwa tunakwenda usiku kutembea tembea tunawakuta wahindi hasa familia mume anakuambia njoo ulale na mke wangu allafu tuwalipe pesa kuanzia $10 maisha yao ni taabu sana uwezi kuamini hata kidogo kwanza hata hapo huyo yuko kwenye nyumba nzuri sana hapo wengine wako kwenye miti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.