Tunisian Girls Are Coming Home Pregnant After Performing 'Sexual Jihad' In Syria

Status
Not open for further replies.
Kuwa Mpole Mkuu, Sisi Biblia Imekataza na ni dhambi kuingiliana kinyume cha Maumbile. Ila Nyie kuingiliana kinyume cha Maumbile mmeruhusiwa. Kama Uislamu unavyoelekeza hapa na imam wenu.



Quran imekataza ngono ya jinsia moja katika visa vya Mtume Lot, na zinafahamika, ndio maana adhabu yao ni kuuwawa.
Hivyo vilemba vinakuhadaa, nani aliekwambia huyo ni imam wetu. As long as maneno ya mtu yanaendana na Quran tutayakubali, otherwise tunamuachia mwenyewe maneno yake.
Reference yetu ni Quran na mafundisho ya Mtume peace be upon him.
sasa hao wachungaji wengine ni mashoga, jee hii inamaanisha ukristo unaruhusu haya. Jibu tunarudi kwenye bible na sio maneno ya mchungaji.PERIOD!!
 
Last edited by a moderator:
Kwamba ni malaya huo ni uzushi mmkubwa.

[video=youtube_share;6Qvo4_hMrF4]http://youtu.be/6Qvo4_hMrF4[/video]


Nani alikwambia Baikoko, Kanga moko na kitu tigo zilianzia Tanga?

[video=youtube_share;GsIOSPt8tQw]http://youtu.be/GsIOSPt8tQw[/video]

[video=youtube_share;ysWCClFDjAQ]http://youtu.be/ysWCClFDjAQ[/video]
Uislamu una katba yake na taratibu zake,kuitwa au kujiita Muislamu,bila kufuata Katiba ya uislamu na taratibu zake,ni njia inayokufanya utoke katika uislamu.Ukimuona mtu au watu wanafanya utaratibu kinyeme na uislamu,Ujuwe wazi hapo uislamu wao haupo tena na si waislamu.Ikiwa uislamu umekataza Zinaa ndani ya Qura-an,halafu ukakuta watu wanafany hiyo zinaa,hata waipe jina gani,hao si waislamu,maana wamekwenda kinyume na uislamu.
Haiwezekani uwe mwanachama wa chama wa kikundi fulani halafu uwende kinyume na katiba
ya kikundi hicho,bado useme ni mwanachama wa kikundi hicho.
Uislamu umekataza zinaa.
"WALA USIKARIBIE ZINAA.HAKIKA HUO NI UCHAFU NA NJIA MBAYA"
17:37 Qur-an
Hakuna neno la jihad nikah,katika QURAN, na tafsiri ya jhad ni juhudi,na nikah ni ndoa.Kwa kiswahili inakuwa JUHUDI YA NDOA,HAILETI MAANA.Hao watu wa nchi za Magharibi huwa wanapotosha mambo mengi,Ndio mana huku kwetu Afrika wakiona sehemu ndogo tu ya Afrika ina tatizo la ukame,watoto wankufa kwa njaa,wanazuonyesha picha,kama ni Afrika nzima tuna njaa.
Jiulize swali hivi huko Syria hakun wanawake.mpaka watoke wanawake nchi nyingine?Au hao wanawake walishikwa nguvu kwenda huko?Na iweje mtu uwende kwa wanaume wanaopigana vita,sehemu ambayo sio salama.Na hao wanaopigana hawapigani kwa ajili ya dini,wanapigana kisiasa,nahata kama wanapigaa kwa ajili ya dini,risasi haichagui.
Huu ni mpango wa uongo,kwa nini hao wanawake wajifinike sura zao,waweza kufanya mapenzi na wanaume wengi,washindwe kujiweka wazi mbele ya kamera,waonekane sura zao.Hawa ni wanaojiuza mwili au ni mpango wa kutaka kuuchafua uislamu.Mti wa matunda siku zote ndio unaorushiwa mawe.
 
Kwamba ni malaya huo ni uzushi mmkubwa.

[video=youtube_share;6Qvo4_hMrF4]http://youtu.be/6Qvo4_hMrF4[/video]


Nani alikwambia Baikoko, Kanga moko na kitu tigo zilianzia Tanga?

[video=youtube_share;GsIOSPt8tQw]http://youtu.be/GsIOSPt8tQw[/video]

[video=youtube_share;ysWCClFDjAQ]http://youtu.be/ysWCClFDjAQ[/video]


Hiyo video ya kwanza huyo shekhe hakuoneshwa yeye anasema bali alikua mtangazaji tu kama kawaida yao wanapotosha jamii. Eti aliquote kwenye page yake ya facebook au twitter kwamba aliandika maneno hayo.

Video hii hapa mwenye anakanusha
‫

Anasema kuna page zaidi ya 9 zinazomhusu yeye lakni nyengine sio zake.NI sawa na mimi kufungua facebook page ya Messi nikajidai eti mimi ndio messi.
Sasa hiyo hapo video mwenyewe anakanusha, IKIWA MKWELI NA WEWE UTULETEE VIDEO YAKE ALIOSEMA KAMA HICHO KITU KINAFAA!!

Hizo video no. 2 and 3, kila dini na kila nchi ina wabaya wake na wazuri wake na ndio maana tukateremshiwa maandiko tuyafuate. Kwa hiyo hao wanawake hawauwakilishi uislam.
Jee na hizo porn movie website ziko millions na nyingi ni christians ndio wanao act. Je tuseme ukristo umeruhusu haya!!
THINK GREAT THINKER AND DONT BE FOOL
 
Uislamu una katba yake na taratibu zake,kuitwa au kujiita Muislamu,bila kufuata Katiba ya uislamu na taratibu zake,ni njia inayokufanya utoke katika uislamu.Ukimuona mtu au watu wanafanya utaratibu kinyeme na uislamu,Ujuwe wazi hapo uislamu wao haupo tena na si waislamu.Ikiwa uislamu umekataza Zinaa ndani ya Qura-an,halafu ukakuta watu wanafany hiyo zinaa,hata waipe jina gani,hao si waislamu,maana wamekwenda kinyume na uislamu.
Haiwezekani uwe mwanachama wa chama wa kikundi fulani halafu uwende kinyume na katiba
ya kikundi hicho,bado useme ni mwanachama wa kikundi hicho.
Uislamu umekataza zinaa.
"WALA USIKARIBIE ZINAA.HAKIKA HUO NI UCHAFU NA NJIA MBAYA"
17:37 Qur-an
Hakuna neno la jihad nikah,katika QURAN, na tafsiri ya jhad ni juhudi,na nikah ni ndoa.Kwa kiswahili inakuwa JUHUDI YA NDOA,HAILETI MAANA.Hao watu wa nchi za Magharibi huwa wanapotosha mambo mengi,Ndio mana huku kwetu Afrika wakiona sehemu ndogo tu ya Afrika ina tatizo la ukame,watoto wankufa kwa njaa,wanazuonyesha picha,kama ni Afrika nzima tuna njaa.
Jiulize swali hivi huko Syria hakun wanawake.mpaka watoke wanawake nchi nyingine?Au hao wanawake walishikwa nguvu kwenda huko?Na iweje mtu uwende kwa wanaume wanaopigana vita,sehemu ambayo sio salama.Na hao wanaopigana hawapigani kwa ajili ya dini,wanapigana kisiasa,nahata kama wanapigaa kwa ajili ya dini,risasi haichagui.
Huu ni mpango wa uongo,kwa nini hao wanawake wajifinike sura zao,waweza kufanya mapenzi na wanaume wengi,washindwe kujiweka wazi mbele ya kamera,waonekane sura zao.Hawa ni wanaojiuza mwili au ni mpango wa kutaka kuuchafua uislamu.Mti wa matunda siku zote ndio unaorushiwa mawe.

SHEKH HAPA ANAKANUSHA
‫
 
Quran Translation Limitations
THE NECESSITY for the use of Multiple Translations for Understanding The Message of ALLAH'S QURAN

'The Qur'ān is God's miraculous, matchless message that has been sent to all humanity via His last Messenger. With the Quran, God has shown humanity, one last time, a short-cut to His good pleasure. He has communicated to us about His Essence, Attributes, and Names. He has expressed in the most explicit way, leaving no room for any misunderstanding, His will to be known and recognized in the correct way, to be believed in and worshipped. Almighty God has put emphasis on the duties and responsibilities of believers, while enthusing hearts and agitating souls with His promise for punishment and reward. He has presented the Qur'ān as a sign for perfection and completion and as an orbit to rotate around for His good pleasure, while condescending to offer this gift to us as a compliment greater than any that has been or will ever be granted to anyone else' [SUP][1][/SUP].

'The correct opinion, and the one held by the majority of scholars in regard to the Quran's inimitability, is that it is due to the Quran's syntax and its veracity. This is because the Almighty's knowledge encompasses everything and His knowledge encompasses all forms of discourse. Thus in arranging the Quran's wording, the Almighty knew exactly which word was best suited to follow the one before it, and which word best yielded the intended meaning. The Book Of Allah is such that if a word were removed from it and the entire Arabic lexicon were searched for a better word, it would never be found' [SUP][2][/SUP].

'It [The Quran] was received and recorded in the Arabic language. Muslims believe that the Quran is inseparable from the language in which it was revealed, and for this reason, all Muslims worldwide recite it in Arabic, even though today the vast majority of Muslims are neither Arabs nor native speakers of Arabic' [SUP][3][/SUP].

'Translation of the meaning of the Quran is not the same as the original Arabic Quran. You can use the book [Translation] to get at the meanings and the message of the Quran, but it is the original Arabic Text where the message truly resides' [SUP][4][/SUP].

The Quran itself is a miracle and cannot be imitated by man. 'translator's duty is to distil some of the shades of meaning in the text; the end product is not Quran but just a translation (just as a shadow is merely a shadow), and so long as nothing is misquoted or taken out of context' [SUP][5][/SUP].

Muslim Scholars and Muslim laity are unanimous in their view that THE TRANSLATION OF THE QURAN IS NOT THE QURAN and is not a replacement for the Original Arabic Quran. Muslim scholars believe that any translation of the Quran is an approximate interpretation, intended only as a tool for acquiring a superficial understanding of the original Arabic text [SUP][6][/SUP]. The translations of the Quran; e.g. into English, French, German or indeed any other language known to mankind, in principle, are regarded as mere interpretations, paraphrases, tools and aids for reaching to the Message of the Quran.

Translations of the Quran cannot be, and they indeed are not, used in place of the original Arabic of the Quran for recitation as part of enjoined, supererogatory or devotional Muslim Prayers or other enjoined rituals and functions.

The words of different languages do not encompass and express all the shades of meanings of the original Arabic words, though they may express specific ideas or concepts. Hence narrowing down the meaning of the Quran to specific ideas and concepts in a language other than Arabic, would mean missing out other important dimensions of ALLAH'S entire Message. While studying the translations of the Quran, one must always be cognizant of the limitations of that which is Admittedly, UNTRANSLATABLE [SUP][7][/SUP].

Example 1

[Quran - 11:7] 'wa- huwa 'alladhe khalaqa as- samaawaat wa- al- 'ard. fe sittah AYYAAM..'

The word AYYAAM in Arabic means; days or 'long periods' or 'eons' or 'epoch'. The four translations being given here differ in their interpretations:

[11:7 - Asad] 'And it is He who has created the heavens and the earth in SIX EONS'
[11:7 - Pickthall] 'And He it is Who created the heavens and the earth in SIX DAYS'
[11:7 - Shakir] 'And He it is Who created the heavens and the earth in SIX PERIODS'
[11:7 - Ahmed - Samira] 'It is He who created the heavens and the earth In SIX SPANS,'

The translation of AYYAAM as 'EONS' appears to meet God's Created Parameters (commonly understood as Scientific facts e.g. heat, energy, light, darkness etc.,) which were part of the Creation of the Universe and as such Asad's rendering would be more to the point.

Example 2

[96:1 - Abdel Haleem] 'Read! In the name of your Lord who created:'
[96:1 - Muhammad Ghali] 'Read: In the Name of your Lord Who created,'
[96:1 - Maulana Ali] 'Read in the name of thy Lord who creates'
[96:1 - Laleh Bakhtiar] 'Recite in the Name of thy Lord Who created.'

If one was to study Haleem, Ghali and Ali Translations on their own, it would imply that the Prophet (pbuh) was Literate and was asked by Angel Jibril to read out a written Message. Whereas ALLAH, The Exalted, has informed mankind [7:158] that the Prophet (pbuh) was Unlettered (Illiterate). This is further confirmed by the History. Immediately after Prophet's death (pbuh), the Companions did not carry out any searches for any heavenly sheets which Angel Gabriel might have given to the Prophet (pbuh) for reading nor did they search for any iPad which Angel Gabriel might have left behind for all to read. Instead, the Companions relied upon the memorised Quran (oral transmission) and they collected all materials, palm leaves, sheets of leather, shoulder blades of large animals and whatever else had been used for writing the revelations as they were revealed to The Prophet (pbuh) and dictated by the Prophet (pbuh), during his Prophethood. The result was the Compiled Quran which is now widely known as Uthmanic Recension.

Thus it is clear that the rendering of [96:1] by Laleh Bakhtiar is consistent with the Message of the Quran and the History of Islam.

Example 3

[2:54 - Laleh Bakhtiar] 'And mention when Moses said to his folk: O my folk! Truly, you did wrong to yourselves by your taking the calf to yourselves to worship, so repent to One Who is your Fashioner and kill yourselves. That would be better for you with One Who is your Fashioner. Then He will turn to you in forgiveness. Truly, He, He is The Accepter of Repentance, The Compassionate.'

[2:54 - Daryabadi] 'And recall what time Musa said unto his people: my people! verily ye have wronged your souls by your taking the calf, wherefore repent unto your Maker, and slay yourselves: that were best for you with your Maker. Then He relented toward you; verily He! He is the Relentant, the Merciful'

[2:54 - Bewley] 'And when Musa said to his people, «My people, You wronged yourselves by adopting the Calf so turn towards your Maker and kill yourselves. That is the best thing for you in your Maker«s sight.« And He turned towards you. He is the Ever-Returning, the Most Merciful.'

[2:54 - Wahiduddin] 'When Moses said to his people, O my people, you have indeed wronged yourselves by worshipping the calf; turn in repentance to your Creator and slay [the culprits] among you. That course is best for you in the sight of your Maker. He relented towards you. He is the Forgiving One, the Merciful.'

Had ALLAH, The Exalted Commanded the Followers of Prophet Moses (pbuh) to 'kill themselves', we, the mankind, today would have no Followers of Torah. Indeed, the rendering by Wahiduddin, clears any misconceptions and we can safely understand that the command was for Bani Israel to punish the guilty among themselves, who had taken the calf as their 'god'. Wahiduddin's rendering also finds support from The Bible:

'Then he said to them, "This is what the LORD, the God of Israel, says: 'Each man strap a sword to his side. Go back and forth through the camp from one end to the other, each killing his brother and friend and neighbor.'
[Exodus 32:27]

Example 4

[39:23 - Shabbir Ahmed] 'Allah has now revealed the best HADITH, a Book fully consistent within itself. It marks out both ways (to success and failure) repeating its Messages in diverse forms. Herewith shiver the skins of those who have some idea of the Glory of their Lord, and then, their skins and their hearts soften at Allah's Reminder. This is the Guidance of Allah, and with it He guides him who seeks guidance. Whereas he who follows a path that Allah has declared to be wrong, goes astray and he cannot find a guide.'

[39:23 - Yusuf Ali] 'Allah has revealed (from time to time) the most beautiful Message in the form of a Book, consistent with itself, (yet) repeating (its teaching in various aspects): the skins of those who fear their Lord tremble thereat; then their skins and their hearts do soften to the celebration of Allah's praises. Such is the guidance of Allah: He guides therewith whom He pleases, but such as Allah leaves to stray, can have none to guide.

[39:23 - Abdel Haleem] 'God has sent down the most beautiful of all teachings: a Scripture that is consistent and draws comparisons; that causes the skins of those in awe of their Lord to shiver. Then their skins and their hearts soften at the mention of God: such is God's guidance. He guides with it whoever He will; no one can guide those God leaves to stray.'

[39:23 - Bilal Muhammad] 'God has revealed the most beautiful message, a book consistent with itself, repeating. The skin of those who fear their Lord, shivers from it. Then their skin and their hearts soften to the celebration of God's praises. Such is the guidance of God. He guides with it whom He pleases, but those who God leaves to stray, can have none to guide.'

Rendering by Yusuf Ali, Abdel Haleem and Bilal Muhammad is consistent in highlighting the Beauty and Reverence of ALLAH'S Words. Whereas the rendering 'best HADITH' clearly indicates the Translator's Deviant views.

Example 5

[2:177 - Wahiduddin] 'Virtue does not consist in whether you face towards the East or the West; virtue means believing in God, the Last Day, the angels, the Book and the prophets; the virtuous are those who, despite their love for it, give away their wealth to their relatives and to orphans and the very poor, and to travellers and those who ask [for charity], and to set slaves free, and who attend to their prayers and pay the alms, and who keep their pledges when they make them, and show patience in hardship and adversity, and in times of distress. Such are the true believers; and such are the God-fearing.'

[2:177 - Haleem] 'Goodness does not consist in turning your face towards East or West. The truly good are those who believe in God and the Last Day, in the angels, the Scripture, and the prophets; who give away some of their wealth, however much they cherish it, to their relatives, to orphans, the needy, travellers and beggars, and to liberate those in bondage; those who keep up the prayer and pay the prescribed alms; who keep pledges whenever they make them; who are steadfast in misfortune, adversity, and times of danger. These are the ones who are true, and it is they who are aware of God.'

[2:177 - Daryabadi] 'Virtue is not in this that ye turn your faces toward the east and west, but virtue is of him who believeth in Allah and the Last Day and the angels and the Book and the prophets: and giveth of his substance, for love of Him unto kindred and orphans and the needy and the wayfarer and the beggars and for redeeming necks, and establisheth prayer and giveth the poor-rate and is of the performers of their covenant when they have covenanted; and is of the patient in adversity and affliction and in time or violence these are they who are proven true, and these they are God-fearing.'

[2:177 - Qadri] 'Righteousness is not merely that you turn your faces to the East or the West. But true righteousness is that a person believes in Allah, the Last Day, the angels, the Book (revealed by Allah) and the Messengers. Driven by love for Allah, he spends (his) wealth on the kindred, orphans, the needy, the wayfarers, and those who ask and in (liberating slaves«) necks; and establishes Prayer and pays Zakat (the Alms-due). And when they make a promise, they fulfil it and are steadfast in hardship (poverty) and suffering (ailment) and at the time of fierce fighting (Jihad). It is these who are truthful and it is these who are righteous.'

ALLAH'S Message of Noble Verse [2:177], defines an essential attribute of the Believers; Believers' Love for ALLAH. And out of their Love for ALLAH and their continuous desire/efforts for striving for ALLAH'S Pleasure, they (Believers) spend their wealth. Noble Verse [2:177], establishes the Virtue of Sadaqa, The Voluntary Benevolence (Charity). Thus the renderings by Qadri and Daryabadi are consistent with the complete Message of Noble Verse [2:177], which like [9:60] also defines the categories of people (eligible recipients), to whom the Believers may give their Voluntary Charity, for The Love of ALLAH, Alone.

One can safely say, if any translation indicates some sort of inconsistency within ALLAH'S Revelation (ALLAH'S QURAN), such is entirely due to the translation limitations and translator's personal views and likes and dislikes and MOST CERTAINLY NOT within the DIVINE MESSAGE [SUP][8][/SUP].

'The Quran is one of the world's classics which cannot be translated without grave loss' [SUP][9][/SUP].

The claimed Translations of The Holy Quran, are indeed the translations of the meanings of The Quran [in short TMQ], as understood and rendered by individuals, to the best of their understandings, ability and possible sectarian or intellectual bias [SUP][10][/SUP].
[see M. Ayoub, 'Translating the Meaning of the Quran: Traditional Opinions and Modern Debates', in Afkar Inquiry, Vol. 3, No. 5 (Ramadan 1406/May 1986), pp.34 9).]

'Hence the need for reference to multiple translations, for no single translation can adequately convey the meaning of the original - ALLAH'S QURAN' [SUP][11][/SUP].

And the humble ones say, Translation helps in approaching The Message of The Quran but it [The Translation] is not a substitute for the Original, ALLAH'S QURAN, revealed and recorded in, Classical ARABIC.

[References]
[1] - [Excerpted from: http://www.theholybook.org/]
[2] - [(Ibn Atiyah) - Preface, Variant Readings of The Quran - Ahmad Ali Al-Imam - 2006]
[3] - [Excerpted from:http://www.saudiaramcoworld.com/issue/201104/thomas.jefferson.s.qur.an.htm]
[4] - [Yahiya Emerick - Preface to The Holy Quran - Guidance for Life, 2000]
[5] - [M. M. Al-Azami - Preface, The History of Quranic Text - 2003]
[6] - [Excerpted from - Mahmoud Ayoub, The Awesome News (Hiawatha, Iowa: Cedar Graphics, 1997), p. xi.].
[7] - [ALLAH'S QURAN - Untranslatable - http://www.facebook.com/topic.php?uid=116824498381564&topic=147]
[8] - [Excerpted from: asadullahali.files.wordpress.com/2010/09/the-message-of-the-Quran.pdf]
[9] - [A. Guillaume - the Life of Muhammad - 1955]
[10] - [Excerpted from - [see M. Ayoub, 'Translating the Meaning of the Quran: Traditional Opinions and Modern Debates', in Afkar Inquiry, Vol. 3, No. 5 (Ramadan 1406/May 1986), pp.34 9).]
[11] - [Dr Laurence B. Brown - Scriptural Sources and Translations, God'ed - 2007]

ARABIC IS THE MOST COMPLEX LANGUAGE NA NDIO MAANA QURAN NI MIUJIZA,kwa asiefahamu kiarabu maneno yangu haya ni usiku wa giza
 
mimi nikisikiaga maneno haya ndo nachoka kabisaaa!! najiuliza. wanaofanya hayo mabaya ni waislam, wanasoma na hata kutumia ayah na mistari ya qu'ran tukufu, huku sisi tunakataa siyo uislam. Hebu nisaidie tunawezaje pambanua tofauti ya hao wenye kutii na kusimamia unadhifu na hao wenye kutenda unyama na ukatili?
Wakati mwingine wanaseme sisi waislam ni wamoja, uislam unaunganisha mataifa, uislam ni zaidi ya undugu!! sasa mwislam akiua, akiwa gaidi mnamkana, kwanini? yeye siye ndugu yetu katika uislam?
Je tutaweza je kutenganisha hayo makundi ya wenye kufanya maovu na wenye kuwa nadhifu, ili waislam wasiwe kwenye kundi moja la maovu? maana ubaya husambaa zaidi na kwa haraka kuliko uzuri na wema.

SP
Nyinyi wakristo wote ni wamoja,je unakubaliana na Mauaji ya Waprotestant na Wakatoliki,Ireland ya Kaskazini?Au mauaji aliyofanya Askofu Kibwetere?Au yanayofanywa na Lord Resisitance Army?Nk
 
Kama kweli hao wamefanya huo upumbavu ni kwa matakwa yao wenyewe,haihusiani na uislam,uislam umeletwa na allah,siyo mtu yoyote katka ardhi ya kwake,hivyo c vyema kuhusisha uovu huo na uislam,
 
AM A LIVING CHRISTIAN! AND I WILL DIE A CHRISTIAN! hata waje waniulize kama mimi ni wa upande wao ili kuepuka mtutu, nitawajibu NILIZALIWA MKTISTU, SASA NI MKRISRTU NA NITAKUFA MKRISTU! AND AM SOOOOOO PROUD TO BE A CHRISTIAN! MUNGU WANGU MWEMA UNILINDE NA KUNIPA NGUVU NIITETEE IMANI YANGU MPAKA KUFA!

NAOMBA NA KIZAZI CHANGU KAMWE KISITHUBUTU HATA KUOTA KUHAMIA UPANDE WA PILI!! IT DOESNT WORTH IT!
Baraka ziongezeke kwako.
 
Quran imekataza ngono ya jinsia moja katika visa vya Mtume Lot, na zinafahamika, ndio maana adhabu yao ni kuuwawa.
Hivyo vilemba vinakuhadaa, nani aliekwambia huyo ni imam wetu. As long as maneno ya mtu yanaendana na Quran tutayakubali, otherwise tunamuachia mwenyewe maneno yake.
Reference yetu ni Quran na mafundisho ya Mtume peace be upon him.
sasa hao wachungaji wengine ni mashoga, jee hii inamaanisha ukristo unaruhusu haya. Jibu tunarudi kwenye bible na sio maneno ya mchungaji.PERIOD!!

haya haya kumekucha ndani ya jaramba..

 
Last edited by a moderator:
Huyu hapa binti ambaye alilazimishwa kushiriki jihad al-nikah kwa nguvu na wazazi wake. Baba yake ni member wa kundi mokawapo la waasi na alikuwa akiwaleta waasi nyumbani kuja kukpa thawabu binti yake:



[video=youtube_share;pYddtAQtou w]http://youtu.be/pYddtAQtouw[/video]


Mwingine huyu hapa mtunisia aliyeambulia mimba na ukimwi huko Syria. Aelezea jinsi walivyonyanyasika huko kwenye jihad:




Pregnant with AIDS: Tunisian Girl Recounts Her Sex Jihad in Syria

The Arabic media has been full of interviews with some of the many Tunisian girls that went to the sex jihad in Syria. The other day Tunisian newspaper Al Sharaouk ("Sunrise) shed light on the horrific experiences of one of these girls.


‘Sex Jihadis'

Her name is Lamia, and she's 19-years-old. While in Syria, she had sex with jihadis fighting to overthrow the secular Bashar Assad regime. Among other nationalities she recalls having slept with were Pakistanis, Afghanis, Libyans, Tunisians, Iraqis, Saudis, and Somalis, all in the context of the "sex jihad."

Such a diverse array of jihadis is a reminder of the nature of the "rebellion": it's less about indigenous Syrians fighting for freedom and more about international jihadis fighting for Sharia.
According to Al Sharouk reporters, who went to interview Lamia at her home, the young woman began her story by saying that in 2011 she became religious, after watching an Islamic program; among other things, she took to wearing the hijab and came to believe that going out in public was a sin.
Then, "Lamia became convinced that a woman may participate in the jihad to eliminate the enemies of Islam by making her body recreational for the men after each and every raid, so that her body became their possession."
Back in May, reports of women saying similar things began to appear. For instance, Masrawy published a video interview with one "Aisha," another Tunisian girl who said she had met a Muslim woman who spoke of the importance of piety, including wearing the hijab and traveling to Syria to help the jihadis "fight and kill infidels" and make Allah's word supreme, adding that "women who die would do so in the way of Allah and become martyrs and enter paradise."
At any rate, by the time war broke out in Syria, Lamia's mind was "dough for the cleric to mold any which way he wanted." He proceeded to send her to Benghazi, Libya, and from there to Turkey, and then to Aleppo, Syria. There she found many women and young girls residing in an old hospital that had been turned into a campsite.
A man claiming to be the "emir" of the sexual campground met her saying his name was Abu Ayoub, the Tunisian. But, she said, the true leader was a Yemeni, who appeared leading a group of jihadis calling themselves "Omar's Battalion" (likely named after the second caliph, whose reign saw the conquest of Syria). He was the first to take her.
Lamia confessed that she did not know how many men had sex with her and that all that she remembers is being abused, beaten, and forced to do things "that contradict all sense of human worth." She also said that she met many Tunisian women including one who died while being tortured for trying to escape. (This, too, has precedents, including at the hands of the Muslim Brotherhood in Egypt.)
Finally, released back to Tunisia, Lamia has been to a doctor finding that she is five months pregnant. Both she and her unborn are carrying the AIDS virus.

Source: The PJ Tatler » Pregnant with AIDS: Tunisian Girl Recounts Her Sex Jihad in Syria



kuna msemo ukiujua huu na mwenzako anaujue wa kule
 
Last edited by a moderator:
Dah! nimeshtuka sana.....Huo ndio Uislamu..... Mungu awasamehe sana Waislamu.
ukiangalia blindly utasema Waislamu lakini kiukweli hawa ni moja ya viumbe ambao ni jamii ya binadamu kama wewe na mimi na wanawakilisha viumbe ambao Mungu kawapambanua kuwa bora juu ya viumbe wengine na amewaumba kwa mfano wake. Kazi ya kuwa binadamu ni ngumu mkuu.
 
Tumia akili ya kuzaliwa tuu.
Jihad inayosapotiwa na America na Ufaransa!
Watu wamejaribu kushindana hoja kwa kutumia vitabu wameshindwa, sasa wanaanzisha propaganda.
Wakristo, naombeni a single verse kutoka ktk Quran au Hadithi inayoelekeza waislamu wafanye 'Sex Jihad'.
Umalaya ni umalaya tuu, ukifanywa na mwislamu au asiye mwislamu ni umalaya tuu.
Kuubatiza jina umalaya kwa jina la 'sex jihad' kisa umefanywa na mwislamu ni kukosa hoja.
 
Tumia akili ya kuzaliwa tuu.
Jihad inayosapotiwa na America na Ufaransa!
Watu wamejaribu kushindana hoja kwa kutumia vitabu wameshindwa, sasa wanaanzisha propaganda.
Wakristo, naombeni a single verse kutoka ktk Quran au Hadithi inayoelekeza waislamu wafanye 'Sex Jihad'.
Umalaya ni umalaya tuu, ukifanywa na mwislamu au asiye mwislamu ni umalaya tuu.
Kuubatiza jina umalaya kwa jina la 'sex jihad' kisa umefanywa na mwislamu ni kukosa hoja.


Hii Hapa Mkuu. Tena Uislamu umeruhusu kugeuzana wanaume ili mradi tu iwe ni kwa ajili ya jihad.

 
Last edited by a moderator:
hapana hujajifunza..umejifunza propaganda dhidi ya uislam ...na pia umejifunza juu ya masheikh ubwabwa ambao ni maajent wa magharibi kuuchafua uislam ....ambao huhalalisha kile kili choharamishwa kwa maslahi ya magaidi wanao kuwa surpported na marekani.....
hao jamaa masheikh ubwabwa hutoa fatwa ili kukidhi haja ya mabasha zao marekani.....ili ku waunga mkono magaidi wa kule syria..kumwangusha RaiS ASSAD .
wachafuzi wa imani za dini wapo kila mahala...katika uislam haijaanza leo...ilianza zamani kwa kuanzishwa madhehebu mfano ya AHMADIA ambayo yalianzishwa na uingereza kule pakistan kupitia agent wao Gulam Ahmad
na katika kristo kuna madhehebu ya kishetani Church of Satan ambayo hayaendani na imani ya dini ya kikristo..hawa wao hufanya sex kanisani na kuabudu uchi....pia tuliona makanisa haya ya uharibifu kule uganda kwa kibwetere....na marekani kwa jamaa aitwae WAKO....Jee hawa ndio wanawakilisha imani ya kikristo ? jawabu hapana ni wapotevu au wanatumiwa.....na unapoona haya ya church of satan sidhani inakufanya uache ukristo !!1 kwani unajua wazi hakuna mambo ya kusali uchi na kufanya sex kanisani ...
so ni hivo hivo katika uislam wapo masheikh wachafuzi ambao wametumwa au kwa maslahi fulani basi huchafua na kupoteza watu
uislam ndio dini pekee inayokataza zinaaa na uesharati.
ni dini pekee inayokaza kabisa mambo ya kaumu lut...na inatajwa kama laana kubwa sana....sasa anapo kuja kajisheikh kwa vile kavaa kanzu anahalalisha haramu ..utumie akili yako..bado una muda mzuri wa kuosoma uislam....na Quraan na ukaujua unaposikiliza propaganda haiwezi kuja kuwa ndio jawabu utapo ulizwa jee hatukukuleteeni Mtume wa mwisho kuwa onya ? juu ya zina ? juu ya sodoma?

kwa faida yako download QURAN VIEWER HAPA..ILI UPATE KUISOMA UZURI QURAN HAPA UTAPATA GLOSARY NZURI NA INDEX KWA KILA KITU KUHUSU UISLAM NA QURAN....HATA KUHUSU SODOMA UTAIPATA NA KUHUSU ZINAA UTAIPATA JUST DOWNLOAD ILI UPATE ELIMU USINGOJE KUHADITHIWA
ALQURANIC.COM | The Complete Guide is ALQURAN
ALQURANIC.COM | The Complete Guide is ALQURAN



Omeongea mengi Sana na kuwa ingia wamarekani ila kwa akili ndogo tu UISLAM na mauaji ni Pete na kidole utaukingia kifua tu kwa sababu ni iman yako Lkn dini hii ni moja Kati ya cyan I vya kifo ukitoa magonjwa ya ukimwi na Malaria! Raping killing innocent peoples
 
Waswahili bwana, imebidi nibaki nacheka tu. Huyo anayezungumza kwenye video ni mwarabu ambaye nina uhakika anasoma Quran na kuielewa vizuri, maana originally imeandikwa kiarabu. Sasa wewe mswahili ambaye kwanza, kiarabu hukijui, labda cha kukariri, lakini pili Quran yenyewe hauna (maana nasikia hamruhisiwi kukaa nazo)na pengine hujawahi kuisoma, unataka tukuamini wewe eti jamaa ni muongo. Waswahili noma aisee. Badilikeni bana, aaaah!!!!
 
Na hii ndio mbingu wanayoahidiwa watakaojitolea kumwaga damu zisizo hatia kwenye JIHAD. Ttizo hapa ni kutokuwapo nafasi ya mwanamke huko "peponi" hata kama wamefanya Jiad al-nikah. Watch and see Shehe mmsomi wa uislamu akifafanua kuhusu mabikra 72 wenye macho ya duara na jinsi ambavyo kila mwanaume atapewa nguvu za midume 100 ili kuwashughulikia. Nisilaumiwe, hizi zote ni credible sources.

[video=youtube_share;S8lhuMG1fbQ]http://youtu.be/S8lhuMG1fbQ[/video]
 
tatizo kubwa ni kwamba muislamu mwenyewe hajui hiyo quran inasema nini. Magaidi kama alshabaab na Alqaeda ndio waislamu hasa! Hawa weusi wenzetu wamezaliwa tu katika uislamu wanautetea bila kujua wanatetea nini. Ukimsikiliza sheikh ilunga au ponda wote wanatema verses ambazo hazipingiki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom