johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za Tume ya Uchaguzi utagundua hakuna Mbunge wa Kuchaguliwa kule Bungeni
Lisu anasema wakati wa Uchaguzi Mkuu NEC walisema wapiga kura walikuwa 11,800,000 lakini Kwenye ripoti rasmi wanasema wapigakura walikuwa 14,500,000 hivyo kuna nyongeza ya takribani kura 3,000,000 za ziada ambazo ni feki Sawa na kura 11,383 kila Mbunge
Lissu amesema ndio sababu Hayati Magufuli alikuwa anawatambia Wabunge kwamba Bila eye wasingeingia Bungeni
Lissu anasema NEC haina takwimu za kura za Rais Magufuli kwa kila Kituo, kata, Wilaya kama ilivyokuwa kwa Rais wa Zanzibar bali wanazo za Jumla tu ambazo ni takribani 12,500,000
Tundu Antipas Lissu amesema anayebisha aende Tume ya Uchaguzi akahakiki
Lissu ameyasema haya katika mkutano mkubwa wa hadhara huko Ikungi
Naona Tundu Lissu amewasha moto