sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Ndo waliwao kweli. 5000 mwaka mzima?? Maajabu ya mzee rajabu haya! Huo ni wizi wa wazi. Wanaibia wazazi kabisa. Wasichangie!Ukiwa mjinga unakuwa mjinga kweli kweli! Hata unaloongea hujali kama lina ladha ya ujinga kwa asilimia gani? Hivi kweli wana-JF Tsh.5,000.00 inatosha mtu kula mwaka mzima? Kununua unga na sukali kwa ajili ya uji na ugali mwaka mzima? Mhmm wajinga ndio waliwao!
Ikungi Sukari kilo moja ni Tsh.2,000.00 akili kichwani Jamani dhidi ya Upumbavu huu.