Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

Tatizo liko kwao; wenye akili wanajua kwamba hawa makabwela wamekalia kuti kavu ! Go CDM go. We are here with youuuuuuuuuuu
 
PHP:
wewe ndo mjinga wa kwanza na wa  mwisho...........lissu anajiamni anaonge kwa kijiamini na anajua  anachofanya......huwezi kumlinganisha lissu na jk wala werema,
 
 umesahau  kikwete alivyosema kipindi cha kampeni? .............lissu ni sawa na  wabunge 200 wa ccm....na akaongeza ana hofu sana jamaa akishinda  ubunge........subirini awafundishe kazi...........

Pitia hoja hii na uitafakari kabla ya kutumia lughe isiyo na mashiko.........................
PHP:
I fully know that to Chadema blind devotees this personal discourse will  give them yet another reason to harangue me but can't we all learn form  occasional stumbles?..................For sure, TUNDU LISSU needs  dollops of humility if he is to attain his full political potential  which I confess is huge and only the sky poses a  limitation................................
 
EDSON ukiona topic iko juu yako kidogo,potezea, sio kutoa matusi.
From your response its clear you can't intelligently argue with 'peers'!
 
...................human nature that GOD bestowed in all of us to hate "the proud" whom TUNDU LISSU blithely represent today............................this is also another confirmatory test that pride will deny TUNDU LISSU an opportunity to grow into a full blown political specimen.......................For sure, TUNDU LISSU needs dollops of humility if he is to attain his full political potential which I confess is huge................................


All in all, i believe that you did not intend to post obnoxious thread towards Lissu but rather a challenge to think for our politicians...

Real this is a nice challenge to CDM and other politicians to understand that improper impression when presenting can distort your whole message.....

There a potential to pick in your post and hope they wuill understand hasa kwa kuzingatia tayari kuna pengo kubwa katio ya CCM na CDM na kitu kidogo kwa CDM kama hiki cha Mh LISSU kitafanya ujumbe wote unaofuata hata kama ni wa muhimu kupotezewa..........bravo......Message sent
 
PHP:
Your arguement is based on the fact that possibly there is a small  element of reasoning in CCM's Dr. Nos. That defeats it. I think CDM is  addressing us who are affected by the unreasonable Dr. Nos. Tundu lissu  arguement resonate with reasonable minds not CCM.
 
By the way I hope you share with me the ascertion that CCM MPs have  ganged against the whole purpose of a vibrant parliament. They will  never support other MPs' motion so long as it is not from CCM.
 
 "TUNDU LISSU dented by pride and intellectual arrogance" My Gosh.  I think you have devoid yourself with your well intended thread. One;  you have personalised it to Tundu Lissu. Two you have painted it dented  while your premises is on quick sand. Three you have not balanced it  with the abuse of unreasonable blocking behaviour of CCM.
 
Tundu Lissu as an MP has enlighted us with the missing details of  foundamental Legal issues mishandled by a pride and ignorant arrogance  of both the CCM government and the party through its MPs. An MP  regardless of the party.

Tofautisha nia na mafanikio.........................hoja zako nimezipenda ingawaje leo hukumsikiliza TUNDU LISSU..........................zaidi ya robo tatu ya hoja zake nzuri zimekataliwa na wabunge wa CCM.........................sababu kubwa ni kuwa CCM hawataki mabadilko na hata hizi sheria lengo lao ni kuonyesha wanataka mabadiliko lakini kumbe kiundani wanapinga..................................nina uhakika ya kuwa wapo wabunge wengi wa CCM ambao wangelipenda kumuunga mkono TUNDU LISSU lakini itabidi aache jazba na kuwakebehi CCM ambao anawahitaji katika kupitisha miswada............................kuna maana gani ya kutoa hoja nzito na nzuri na kushindwa kuzijengea mazingira mazuri ya kukubaliwa hata na wale wapinzani wako kisiasa.....................................pitia uzi wangu kwa utaratibu uone makosa ya kibinadamu ambayo TUNDU LISSU anayafanya.......................................na ambayo yako ndani ya uwezo wake kuyarekebisha.................................................Hakuna aliyemkamilifu...............................AND SO IS TUNDU LISSU...................
 
PHP:
All in all, i believe that you did  not intend to post obnoxious thread towards Lissu but rather a challenge  to think for our politicians...
 
Real this is a nice challenge to CDM  and other politicians to understand that improper impression when  presenting can distort your whole message.....
 
There a potential to pick in your  post and hope they wuill understand hasa kwa kuzingatia tayari kuna  pengo kubwa katio ya CCM na CDM na kitu kidogo kwa CDM kama hiki cha Mh  LISSU kitafanya ujumbe wote unaofuata hata kama ni wa muhimu  kupotezewa..........bravo......Message sent

Ninashukuru kwa kunielewa.................................................lengo ni kutambua mapungufu na kuyapunguza ili kufanikisha malengo mazuri ya Bw. TUNDU LISSU....................
 
wewe ndo mjinga wa kwanza na wa mwisho...........lissu anajiamni anaonge kwa kijiamini na anajua anachofanya......huwezi kumlinganisha lissu na jk wala werema,

umesahau kikwete alivyosema kipindi cha kampeni? .............lissu ni sawa na wabunge 200 wa ccm....na akaongeza ana hofu sana jamaa akishinda ubunge........subirini awafundishe kazi...........

Edson hapa kuna changamoto ya kupokea ndugu yangu..........

Tukifanya makosa tutaendelea kuwalemaza wanasiasa wetu kwa kutetea ujinga wao.....ndiko tulikojifikisha na CCM kwa kuamini kuwa mawazo yao na action zao ni sahihhi na wao wakalemaa ikaanza kula kwetu leo tunalia

Hili ndilo mara nyingi tunazungumza juu ya matumizi ya lugha kwa viongozi wetu....jamani impression count and have a potential in carrying and delivering the content

Pamoja na content nzuri ya Lissu lakini impression yake inaweza kuwa ni kitu kilichoharibu kabisa uzito wa kile alichokuwa anakisema................Lets face the truth and take the challenges....ndio ukomavu sio kama wale mabaradhuli wa CCM wanaojiona hawakosei mpaka wawe watupu kabisa
 
sitta was'DEAD WRONG '
no need ya kumrembaremba eti kwa kuwa ni mwanasheria mzoefu hakosei.
This is 2011 bunge sio la 2005.

Eti Muda muafaka bado! huu ni upuuzi kwa sababu sera ya serikali ni nguvu zaidi,ari zaidi na KASI zaidi!!!

Hivi werema alikuwa judge?

Lukuvi ameelewa na ametumia akili kumjibu lissu
 
PHP:
Mbona uchafu? uandishi wako hauvutii!!

Mara nyingi ukweli tunauona ni uchafu kwa sababu hatutaki kukosolewa lakini hakuna mwanadamu ambaye ni mkamilifu................incuding our BELOVED TUNDU LISSU...................................
 
Historia ipo kwa ajili ya kuwahukumu binadamu; na CCM watahukumiwa na historia. Lakini kabla ya hapo, WaTZ wanaoipenda nchi yetu, tutawahukumu mitaani, tutawahukumu katika masanduku ya kura. Tusivunjike moyo WaTZ... Ngoma ikilia sana mwisho hupasuka, na kadiri mtu anavyokuwa juu zaidi, anapoanguka mshindo na maumivu huwa makubwa zaidi. Kuanguka kwa CCM tayari kumeshafika. Tujipe moyo na tutashinda. Mchakamchaka Wazalendo, ushindi ni wetu.
 
Leo wote waliowachagua Wabunge wa ccm watakubaliana na mimi kuwa wabunge hawa wa ccm wamewasaliti live bila chenga ktk kioo kwa kupinga mswaada kwa ajili ya manufaa ya wananchi.Yaani ccm wameweka ushabiki maandazi kwa maslahi ya chama chao badala ya Wananchi waliowachagua!!!?,nimesikitika sn.Hongera Tindu Lisu na Zitto Kabwe kwa kutetea hoja bila kuogopeshwa na yyt.CHADEMA PEOPLESS POWER kwa wasiokikubali wakaungane na vilaza wa ccm
 
PHP:
sitta was'DEAD WRONG '
no need ya kumrembaremba eti kwa kuwa ni mwanasheria mstaafu hakosei.
This is 2011 bunge sio la 2005.

Eti Muda muafaka bado! huu ni upuuzi kwa sababu sera ya serikali ni nguvu zaidi,ari zaidi na KASI zaidi!!!

Hivi werema alikuwa judge?
You may be right but at the end of the day TUNDU LISSU came out empty -handed..........pendekezo lake likatupwa kapuni.......Is TUNDU LISSU REALLY EFFECTIVE? Hilo ndilo swali ambalo unapaswa ulijibu kama hoja zako nyingi zinakataliwa.......................................Nitakupa mfano mwingine.......................................Mrema na Bw. Mapesa Mwenyezi Mungu hakuwapa akili nyingi za TUNDU LISSU lakini kawapa unyenyekevu na ndiyo maana wana sauti kubwa Bungeni huku vyama vyao havikutoa wabunge wengi kama Chadema.......................................................At the end of day, Mbunge atapimwa kwa kufanikisha malengo yake na wala siyo kwa kujaribu........................Today TUNDU LISSU got very low effectiveness marks on my SCORE SHEET.....................................Though I wish he was more persuasive........................and less abrasive........................
 
In the just concluded House deliberations on judicial reforms one MP stood apart from the rest in terms of vigorous and unrelenting input to reform the judiciary but he had very little success in swaying the "DR. Nos" in CCM-MPs......................that MP remains in the eyes of parliamentary watchers being the only one........................TUNDU LISSU.........................

TUNDU LISSU's legal positions were loaded with intellectual arguments hovering around empowering the judiciary to acquire her constitutional onus that the executive had encroached with impunity...................... from financial squeeze to being called upon to answer to D.Cs and R.Cs.......surely the judiciary is under siege from executive manipulations and overt control..........you would expect most CCM MPs to agree with TUNDU LISSU that the time has come for the judiciary to police herself rather than continuing being in the clutches of political mandarins....................CCM MPs had none of those ennobling aspirations.......CCM's glory is in waving anti-reform credentials............they anchored the executive to continue calling shots in the judiciary ridiculing the whole intent being touted as a reason the judicial reforms were initiated in the first place....................from funding constraints which have nothing to do with actual needs of the judiciary to the appointment of judiciary commission the presidential monarchy will continue piling the judiciary with presidential minions deferring indefinitely the real meaningful reforms dearly needed in the judiciary................................the backlog cases now suffocating our judicial system among other handicaps are unlikely being resolved by this Bill the House has just passed let alone constitutional yet adversarial relationships between the judiciary and the executive this legislative initiative aspires to foster and promote................................

A.G was uninspiring when he justified the preservation of the status quo on outdated arguments that time is not ripe enough for the judiciary to walk without an intrusive interference from the executive.....................because if that argument holds any water then the BIG question ought to be then why the hullabaloo of this new legislative reforms.....if at the end of it all, the status quo ante is gonna prevail under the guises of a new judicial commission whose recommendations are at peril of presidential tantrums???????????????????

But to cut the narratives short, TUNDU LISSU intellectual potentiality is hard done by his own human frailties.........................for instance when Hon. Sitta made his constitutional contribution - however, irrelevant it was- was there a real need for TUNDU to castigate Sitta as being..........."dead wrong"?

Is TUNDU not burning all political bridges which one day he may need to cross to attain his elaborate political goals.......which include overseeing Chadema crossing the watershed of capturing power..........................Was Speaker Anne Makinda not being only too humane............when she upended the will of parliamentarians who in their majority crowed "Yeah" in support of TUNDU's proposal that D.Cs should not sit as chair and arbiter in judicial officers' disciplinary matters................Was Anne not really responding to human nature that GOD bestowed in all of us to hate "the proud" whom TUNDU LISSU blithely represent today.......................

TUNDU LISSU may sought a scapegoat and solace in CCM's "DR. NO" stature as far as CHADEMA is concerned to allay himself with the blame of blatant lack of persuasive powers when he pushed political adversaries beyond human tolerance......Another TUNDU's howler can easily be rephrased as ......Why chiding the A.G for being computer illiterate????????? ..................this is also another confirmatory test that pride will deny TUNDU LISSU an opportunity to grow into a full blown political specimen............................

I fully know that to Chadema blind devotees this personal discourse will give them yet another reason to harangue me but can't we all learn form occasional stumbles?..................For sure, TUNDU LISSU needs dollops of humility if he is to attain his full political potential which I confess is huge and only the sky poses a limitation................................
nilifuatilia kwenye TV. imenisikitisha sana kuanahoja za msingi hazizingatiwi na wabunge wa ccm waniishia tu kwa kusema ndiooooo! wanapoulizwa kama wanakubali ibaki kama ilivyo. ipo siku itatoka vurugu bungeni
 
First I must admit that I do not know and have never met Hon. Tundu Lissu personally, but from observing him on televisions, his endowment and professional grasp of his trade is better than most of his compatriots' in the august house. He is truly a public intellectual because he devotes himself to unveiling what ills this country with passion.

Hon. Lissu joined activism and politics, thus becoming a public figure, to make matters worse he decided to be principled which might be poisonous in politics where opportunism is the order of the day, marriage of conveniences common. A number of intemperate comments are expected to be part of his entourages and itinerary. H decided to enter the politics, so vitriolic attacks on what he stands for, his approach and style (combative!) will always be controversial. I am sure he needs a thick skin otherwise he would not have survived this long and reached where he is. I have a feeling the man he is what we see.

My problem is with the all too common accusation of intellectual arrogance being hurtled at people like him and most of his likes who defend or promote certain virtues or advance and forcefully fight for what we should rightly be given by our leaders. The reasoning, goes like this: how dare you, Lissu claim that so many people are wrong and you and a small number of other egg-headed amd misguided lot are right? Who are you to declare the truth?

Actually the intellectual arrogance, in the utmost degree, is being displayed by those who dismiss out of hand the considerate opinion from Lissu only because they cherish a particular ideology that has no independent foundation in reality. Arrogance, according to my dictionary, is "having an exaggerated sense of one's own importance or abilities," and it seems to me to fit perfectly someone who has no technical background in a given field and yet pontificates endlessly about what is True and what is not.

Our national discourse has gotten so bad that demagogues can get away with throwing any amount of mud at their opponents while claiming to have their hands as clean as snow, just like people who have no knowledge or understanding of the matters at hand can gingerly accuse serious professionals of being intellectually arrogant -- and feel very much self-righteous about it too.


It is time to reverse the tide and take a stand. I have no problem with the advise that we all need a good dose of humility, and that one way to get it is to admit that the universe is not about you, and that some people out there really know more than you do, as unpleasant a thought as this may be.
 
PHP:
Edson hapa kuna changamoto ya kupokea ndugu yangu..........

Tukifanya makosa tutaendelea  kuwalemaza wanasiasa wetu kwa kutetea ujinga wao.....ndiko  tulikojifikisha na CCM kwa kuamini kuwa mawazo yao na action zao ni  sahihhi na wao wakalemaa ikaanza kula kwetu leo tunalia

Hili ndilo mara nyingi tunazungumza  juu ya matumizi ya lugha kwa viongozi wetu....jamani impression count  and have a potential in carrying and delivering the content

Pamoja na content nzuri ya Lissu  lakini impression yake inaweza kuwa ni kitu kilichoharibu kabisa uzito  wa kile alichokuwa anakisema................Lets face the truth and take  the challenges....ndio ukomavu sio kama wale mabaradhuli wa CCM  wanaojiona hawakosei mpaka wawe watupu kabisa
THis is powerful dissemination MAN..............................tatizo sioni kibonyezo cha kukushukuru vinginevyo ningelikibonyeza...................we really need introspective thinkers like you...........KEEP IT UP. MAN..........................
 
Kwa hali ilivyo someka mi nadhani hata wapiga kura wao wamehudhunika kwa kua na mivilaza wa namna ile, miwatu inaeleweshwa kwa umakini wa hali yajuu na bado wana jifanya hwaelewi.
Lakini nilivyo yasoma macho ya Werema alidhihirisha wazi kuzikubali hoja za Tundu Lisu ingawa bado alijifanya kijiwe sasa sijui nyuma ya hii mambo kuna nini!!!
 
Nimefikiria mengi sn juu ya ujinga wa Wabunge wa chama cha mafisadi(ccm)ipo siku watanzania tutafika kule tunataka Ila vitendo ni muhimu zaidi kwa kupewa kopaumbele.VIVA CHADEMA
 
wewe ndo mjinga wa kwanza na wa mwisho...........lissu anajiamni anaonge kwa kijiamini na anajua anachofanya......huwezi kumlinganisha lissu na jk wala werema,

umesahau kikwete alivyosema kipindi cha kampeni? .............lissu ni sawa na wabunge 200 wa ccm....na akaongeza ana hofu sana jamaa akishinda ubunge........subirini awafundishe kazi...........
Punguza mukari great thinker. Huhitaji kumwita mtu kwenye JF mjinga.
 
Back
Top Bottom