Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Hilo ni jambo la kawaida wakati wa elections, hata Raila aliteta na mabalozi. Si unaomba fursa nao wanifahamisha wizara ya mambo ya njee kuwa wanakutana na mgombea.

Msikifanye kitu cha ajabu na hakijafanywa, Zitto kila mara anakutana nao, na hakuna linalo badilika, bado ni mpinzani yuleyule tuu.

Kikubwa zaidi atakacho kwenda kusema ni kuwa anaogopa kuuwawa, kuibiwa kura na kuomba pa kukimbilia akishanzisha machafuko na vijana wa watu wakianza kukatana mapanga kwa fitna zake
 
Wanafanya video conference ama teleconference..

Mbona kama mleta uzi umetuachia wenyewe.
Tatizo tunasoma msg za JF na kujisahau. Hawa ni watu wanaohangaika kuonesha kwamba Lissu ni muhimu sana! Hakuna jambo kama hilo. Walitunga hadithi kwamba atafanya Mdahalo na marais wa nje, akiwemo rais wa Ghana mwezi uliopita. Je, uliskia chochote? Ni mbimu ya wasio na shule kulazimisha umuhimu wa Lissu.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Mkuu
Hujatutendea haki, lete link
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Mbona hutupi update? Au wamegoma? Labda balozi wa Ubelgiji vipi yupo TZ?
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
mabalozi nawo wapo ndani ya Tz mkuu
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Mkuu waamuzi wangekuwa ni watanzania police na wengine wasingetumika kuiba kura kwa manufaa ya mtu mmoja
 
Magufuli kajitakia hizi shida zote kwa kubinya upinzani for the last 5 years akidhani amewamaliza.

Sasa CDM wamekuwa kama dhahabu this time, coz watu walishawamisi sana. Kwa njia hii, Magufuli aliamini kwamba uchaguzi utakuwa mwepesi sana kwake, lakini kinyume na matarajio yake uchaguzi umekuwa mgumu sana kwa ccm kuliko chaguzi zote za nyuma, coz hawakujiandaa kabisa na upinzani wa aina hii.

Jumlisha na umahiri wa Lisu kisheria na kisiasa, unapata picha kamili kwamba ccm wama hali mbaya sana.
 
Well said mkuu
 
Huyu Lisu hata huko Chadema wamemchoka kwa sababu kila analoambiwa lazima abishe yeye anajua kila kitu na wengine wote hawajui sasa wamemuacha anendelee kama gari bobu lisilo na breki. Hivi kweli Tanzania ipo tayari kuongozwa na rais wa modeli ya Lisu?
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Ukiwa msaliti usiwe na aibu
... unaenda kuongea na mabalozi katikati ya uchaguzi kuhusu nini kama sio kusambaza uongo
 
Back
Top Bottom