Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,313
"Na mkataba huu unasema, 'Na njia za uchukuzi'. Sasa nyie watu wa shinyanga, njia za uchukuzi maana yake nini kama si barabara na reli?"
"Wamesubiri tunakaribia kumaliza ujenzi wa reli ya kisasa, wamesubiri tumepanua bandari, tangu mwaka 2018 serikali ya Tanzania imeingia mkataba na Benki ya Dunia kupanua bandari ya Dar es Salaam. Mkataba umekamilika, sasa bandari imepanuliwa, inaweza ikapokea mzigo mkubwa zaidi, reli ya kisasa imekamilika ibebe mizigo kutoka nchi jirani zote, eti sasa ndiyo tunawabidhi watu wa Dubai, kwa kisingizio sisi hatuwezi kuendesha hivi vitu!!"
"Na tunawabidhi milele, hatujakodisha maana ukikodisha huwa kuna muda maalumu na bei ya pango. Siyo mkataba wa kuuza, kama mkataba wa kuuza tungekuwa na bei ya manunuzi. Hatujakodisha wala hatujauza bali TUMEKABIDHI BUREE"
"Mkataba huu hauna mahali popote ambapo umesema tutapewa pesa kiasi gani, HAKUNA."
"Ndugu zangu huu mkataba ni mkataba mbaya sana, na mimi nawaambieni ndugu zangu haya kwa uchache tuu, HUU MKATABA HAULINGANI NA MKATABA MWINGINE WOWOTE AMBAO SERIKALI YA TANZANIA IMEWAHI KUINGIA NA MAKAMPUNI AU NCHI ZA KIGENI".