Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Pokea pongezi zangu , umeandika kikakamavu sana !

Mkuu tuko pamoja.Nakumbuka siku moja nikiwa maeneo ya Maweni hosp kigoma kulikuwa na Operation yakuchangia chama ile ya Pamoja daima,nilipata taabu baada ya kukosa pesa ATM kwa sababu ya mashine zote kugoma na sikuwa na taarifa hiyo ili nijiandae mapema.Nilimuomba mshikaji anipe elfu hamsini nimlipe keshoyake ikiwezekana kwa riba ili tu nikichangie chama changu lakini alininyima na sababu eti kwanini nachangia chama cha watu wa Kaskazini?,niliumia sana kwa sababu maneno na mawazo yale yalitoka kwa mtu nisiyemtarajia.Sasa nikamuuliza maswali mawili tu kwamba,nichama gani chenye mwenyekiti aliye na makabila yote ya hapa Tanzania na awe amezaliwa kote?.Pili ni kiongozi gani mwenye dini zote za hapa duniani?.alikosa majibu na mpaka leo hatuelewani kwa sababu za kipuuzi.Leo hii Zitto atakuja Kigoma ajenge chama chake lakini swali liko palepale kwamba ,je wasio wa kigoma nao wakitukataa tutashinda Urais upi?.nawao wakisema nichama cha watu wa Kigoma tutawalaumu?.Je wasio na dini au wa dini tofautinasisi wakitaka wa dini zao tutawajibuje?.Alafu tunapigaje makelele eti tujue hela za chama walizochanga akina nani?,sisi tumekichangia chama shilingi ngapi?.Hizi ndio akiri za miongoni mwa waKigoma wenzangu
 
km hata serikali ingekuwa haionei aibu kung'oa watu madarakani uskute ufisadi usingeshamiri..ss wameachwa wamejihakikishia mizizi imara na saiz tunawaita magamba ,,kuonyesha tumekiri kuwashindwa...
zzk kuvuliwa watu wanaona yy ni nani sjui ,je tukisema mafisadi wanyongwe hadharani si mtatokwa mpaka macho apa
 
Tuwekeeni kifungu hicho cha katiba ya CHADEMA kinachosema hivyo?!

Mbona mnaongea hewani hewani tu?!
8.0. HATUA ZA KINIDHAMU KWA WABUNGE, MADIWANI,WENYEVITI WA VIJIJI/MITAA NA VITONGOJI
UTANGULIZI:

Wabunge, Madiwani, Wenyeviti na Vijiji/Mitaa na Vitongoji katikaChama, ni sauti za Chama Serikalini na ni nyenzo za kuweza kutafsiriSera na Ilani ya Chama kwa vitendo Serikalini. Ni makada wakuonyesha misimamo ya Chama katika mambo mbalimbali yahusuyonchi yetu kwa kutumia majukwaa yao kwa mujibu wa nafasi zao.Ni watu ambao umma umewapa dhamana kubwa kwa heshima yaona heshima ya Chama chetu. Kwa hiyo ni wajibu wa Chamakuwaheshimu, kuwalinda na kuwasaidia kutimiza majukumu nawajibu wao kwa Chama na kwa umma kwa uhuru na kujiamini kwakufuata taratibu zilizopo kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

(a) WABUNGE & WENYEVITI WA HALMASHAURI:
Ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Mbunge auMwenyekiti wa Halmashauri zifuatazo zitakiwa zifuatwe:-

i. Malalamiko juu ya utovu wa nidhamu au jambo lolotelinalolalamikiwa yafikishwe kwenye kikao cha Kamati Kuukwa maandishi kupitia ofisi ya Katibu Mkuu.

ii. Kamati Kuu bila kulazimika kuita pande zinazohusika,itajadiri mantiki ya lalamiko na kuona kama kuna hoja yamsingi katika lalamiko husika.

iii. Kamati Kuu ikiridhika kuwa kuna hoja ya msingi itaundaKamati ya watu kati ya 5 na 7 ili kuchunguza suala linalolalamikiwa kwa kuwapa hadidu za rejea.

iv. Kamati katika uchunguzi wake italazimika kuwaitawalalamikaji na mlalamikiwa na kuwahoji juu ya sualahusika na kupata ushahidi wa pande zote.

v. Kamati hiyo haitakuwa na uamuzi wowote juu ya suala hilobali itaandika taarifa ya uchunguzi na kutoa mapendekezokwa Kamati Kuu.
vi. Kamati Kuu baada ya kupokea mapendekezo hayoinawezi kuchukua hatua za dharura kama itaona inafaa juuya suala hilo ili kunusuru Chama kama kuna hali yakutishia hatima na uhai wa Chama, na kupendekeza hatuaza mwisho kwenye Baraza Kuu.

vii. Baraza Kuu litatoa uamuzi juu ya suala hilo bila kulazimikakuita pande zinazohusika na kuruhusu hatua ya rufaakwenye Mkutano Mkuu.

viii. Kama upande wowote katika kesi hiyo haukubaliani nauamuzi wa Baraza Kuu utakata rufaa kwenye MkutanoMkuu, lakini kwa wakati wote kabla ya rufaa yakekusikilizwa upande huo ukubali na utii maamuzi ya BarazaKuu. Kushindwa kufanya hivyo litakuwa ni kosa lakinidhamu ambalo adhabu yake ni kubatilisha (kutupwa)kwa rufaa yake.

ix. Mkutano Mkuu utakuwa na maamuziya mwisho kwajambo lolote na pande zinazo husika ni lazima zitiimaamuzi ya Mkutano Mkuu. Mtu yeyote atakayeshindwakutii uamuzi wa Mkutano Mkuu atakuwa anatofautiana naChama na kuanzia saa hiyo uanachama wake utakuwaumekoma.

x. CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.

xi. Upande wowote unaohusika na mgogoro unawezakuomba kuitwa na kikao chochote kinachoshughurikiasuala hilo ili kuota ufafanuzi zaidi
 
Sasa hivi hawana nguvu sana ya kumtetea kwani huko kwao kunawaka mioto! ACT wanapigana vikumbo, CCM wanapigana vikumbo. ZZK ataenda kufundisha uchumi kama alivyowahi kuahidi huko nyuma!

Mkuu umetoa jibu lenye busara sana,sijui ataenda wapi.
 
Hivi mkuu wewe unaweza kuomba msamaha wakati huna kosa? Au kosa lake kuonyesha nia ya kumtoa dikteta MBOOwe? Hadi pale alipoambiwa kijana tumia busara? Ndio maana ya Demokrasia hiyo kwenye chama chenu?

Kumbe katiba mnafuata baadhi ya vipengele tu? Vipi uwepo wa m/kiti wa sasa hivi ndugu Dj MBOOwe kuongoza kwa muhula wa 3 huu? Huoni mpkm anaenda kinyume na katiba aliyoiapa kuwa atailinda na kuitetea? Tatizo lenu CHAGGADEMA mnaongozwa kwa hisia na HISIA na VISASI na si lolote lile.
8.0. HATUA ZA KINIDHAMU KWA WABUNGE, MADIWANI,WENYEVITI WA VIJIJI/MITAA NA VITONGOJI
UTANGULIZI:

Wabunge, Madiwani, Wenyeviti na Vijiji/Mitaa na Vitongoji katikaChama, ni sauti za Chama Serikalini na ni nyenzo za kuweza kutafsiriSera na Ilani ya Chama kwa vitendo Serikalini. Ni makada wakuonyesha misimamo ya Chama katika mambo mbalimbali yahusuyonchi yetu kwa kutumia majukwaa yao kwa mujibu wa nafasi zao.Ni watu ambao umma umewapa dhamana kubwa kwa heshima yaona heshima ya Chama chetu. Kwa hiyo ni wajibu wa Chamakuwaheshimu, kuwalinda na kuwasaidia kutimiza majukumu nawajibu wao kwa Chama na kwa umma kwa uhuru na kujiamini kwakufuata taratibu zilizopo kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

(a) WABUNGE & WENYEVITI WA HALMASHAURI:
Ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Mbunge auMwenyekiti wa Halmashauri zifuatazo zitakiwa zifuatwe:-

i. Malalamiko juu ya utovu wa nidhamu au jambo lolotelinalolalamikiwa yafikishwe kwenye kikao cha Kamati Kuukwa maandishi kupitia ofisi ya Katibu Mkuu.

ii. Kamati Kuu bila kulazimika kuita pande zinazohusika,itajadiri mantiki ya lalamiko na kuona kama kuna hoja yamsingi katika lalamiko husika.

iii. Kamati Kuu ikiridhika kuwa kuna hoja ya msingi itaundaKamati ya watu kati ya 5 na 7 ili kuchunguza suala linalolalamikiwa kwa kuwapa hadidu za rejea.

iv. Kamati katika uchunguzi wake italazimika kuwaitawalalamikaji na mlalamikiwa na kuwahoji juu ya sualahusika na kupata ushahidi wa pande zote.

v. Kamati hiyo haitakuwa na uamuzi wowote juu ya suala hilobali itaandika taarifa ya uchunguzi na kutoa mapendekezokwa Kamati Kuu.
vi. Kamati Kuu baada ya kupokea mapendekezo hayoinawezi kuchukua hatua za dharura kama itaona inafaa juuya suala hilo ili kunusuru Chama kama kuna hali yakutishia hatima na uhai wa Chama, na kupendekeza hatuaza mwisho kwenye Baraza Kuu.

vii. Baraza Kuu litatoa uamuzi juu ya suala hilo bila kulazimikakuita pande zinazohusika na kuruhusu hatua ya rufaakwenye Mkutano Mkuu.

viii. Kama upande wowote katika kesi hiyo haukubaliani nauamuzi wa Baraza Kuu utakata rufaa kwenye MkutanoMkuu, lakini kwa wakati wote kabla ya rufaa yakekusikilizwa upande huo ukubali na utii maamuzi ya BarazaKuu. Kushindwa kufanya hivyo litakuwa ni kosa lakinidhamu ambalo adhabu yake ni kubatilisha (kutupwa)kwa rufaa yake.

ix. Mkutano Mkuu utakuwa na maamuziya mwisho kwajambo lolote na pande zinazo husika ni lazima zitiimaamuzi ya Mkutano Mkuu. Mtu yeyote atakayeshindwakutii uamuzi wa Mkutano Mkuu atakuwa anatofautiana naChama na kuanzia saa hiyo uanachama wake utakuwaumekoma.

x. CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.

xi. Upande wowote unaohusika na mgogoro unawezakuomba kuitwa na kikao chochote kinachoshughurikiasuala hilo ili kuota ufafanuzi zaidi
 
Naamin lazima tutamuona tu mzalendo ZZK bunge lijalo kwani walio timamu kichwani hawaangalii chama bali mpigania haki kwa nchi yake.
Tengeneza utatu kama messi,neimer & suarez kupitia NCCR,(mbatia,kafulila & ZZK.
 
Mwanasheria mkuu wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa CHADEMA. View attachment 233406
Very Good..Na imekuja ktk right time...arudi tena mahakamani.Ili akamaliziwe kabisa kisiasa.CCM na Bunge lao ndio wajiulize km ilikuwa worth kumpati kamati na kumpa jukwaa kiasi hicho.
 
Cdm nichama makini sana kuwahi kutokea katika hii nchi, na wanafaa kuongoza hawaangalii mtu usoni, katiba ya chama imefuatwa. Hongera Cdm kwa maamuzi magumu, haya ndio mambo yanayo washinda magamba, kuleana leana. WE NEED CHANGES.
 
Zitto anatoa mchango mkubwa sana Bungeni, na mara zote anaibua hoja nzito zinazokuja kusaidia japo kujua wizi unaofanyika, cdm kama chama kingemshauri na kumrudisha kundini aendelee kuitumikia nchi, hii timua timua haisaidii lolote...

hata viongozi wa ccm wasio waadirifu walianza ivo ivo ,,but hapo mwanzo walikuwa na discipline ,,na baadae chama kimejikuta chote ni cha walewale ,,,heri chama kife kuliko kwenda na watu wasiowaaminifu ndugu coz msingi ndio future
 
Yeah, Zito amepoteza kabisa trust ya CHADEMA. Lakini mimi napoifikiria zaidi nchi nahuzunika sana kwa uthibitisho unaozidi kujitokeza kwamba mahakama zetu ni za ovyo kabisa (kangaroo courts). Yaani siasa za kifisadi ndizo zinazoendesha mahakama; just like the Italian or Russian mafia! Zito alipewa kinga kubaki CHADEMA walipopenda "wenyewe". Leo hii kawaudhi, kinga inaondolewa chapchap, kisa?, amepoteza umuhimu! Ndugu zangu CHADEMA mngelifikiria hilo kwanza, msingepoteza muda kujitokeza kutangaza rasmi kumvua uanachama Zito; mngemuacha tu adondoke mwenyewe taratibu kwa kanuni zilizopo. Hii Tundu Lissu kujitokeza kutangaza, ni kama kuipa mahakama hadhi isiyostahili kabisa. Msipofushwe na kero moja pekee. Mngechukulia kwamba wote: Zito na mahakama ni uozo mtupu. Huo uamuzi wa mahakama umetolewa katika mazingira ya ovyo sana; si kitu ch kujivunia wala kuchangamkiwa na chama kama CHADEMA.

Pamoja na kwamba nilikuwa nafurahishwa na uwezo na ujasiri wa Zito katika kujituma kufuatilia mambo muhimu ya taifa, hivi leo sijali sana kama kapata shule au la kwani nimeona baadhi ya binadamu, kwa namna ya kushangaza sana, wako tayari kuchezewa na wahuni - bila sababu za msingi. Mfano wangu best ni mama Tibaijuka. Mtu una karama bora kabisa; kazi zako za halali zinakupa kipato cha kujidai lakini unaamua kuwaachia "watoto wa mjini" wakupapase na kukupeleka arijojo kwa ujira wa ziada wenye kamba na idhara kibao. Inaniwia vigumu sana kuelewa kwa nini mtu awe hivyo?
Hasante kwa bandiko hili ndugu, isipokuwa hapo kwenye kumfukuza naona wako sahihi
 
Kilichonisikitisha ni kuwa hii habari ya uamuzi wa mahakama itafunika ile hadithi yetu ya "kuuawa kwa Dr Slaa"..kweli la kuvunda halina ubani
 
Tundu Lisu amefanya uamuzi wa busara sana, Nguvu ya Chadema kwa waislamu imekwisha sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom