Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,884
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
 
wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
 
Tupia picha za Mwanza please! Usalama wake ukoje, this is my most concern!
 
wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Mnakwenda CHATO? "Punguza sauti kidogo"
 
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
Ishu si idadi ya watu, ishu ni mikoa 10. This is the rule! hata akapata milioni, say 20 mkoa mmoja (hakuna wenye idadi hiyo anyway) , bado sheria inamtaka apite mkoa 10 na kupata wadhamini kila mkoa.
 
Wanahitajika Mia mbili tu, hizo nyingine ni mbwembwe tu na hiyo sio guarantee kwamba hata kwenye Uchaguzi kura zitakuwa hivyo hivyo.
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
tukitoka huko tunaenda chato!hapo kazi tuu
 
Ishu si idadi ya watu, ishu ni mikoa 10. This is the rule! hata akapata milioni, say 20 mkoa mmoja (hakuna wenye idadi hiyo anyway) , bado sheria inamtaka apite mkoa 10 na kupata wadhamini kila mkoa.
Ndio maana nimemjibu jamaa hapo juu anayesema Magu anaweza kupata wadhamini 2000 Mkoa mmoja as if Lissu hawezi pata wadhamini 2000 mkoa mmoja! Hata Spunda anaweza pata wadhamini 2000 mkoa mmoja
 
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
Sheria inamtaka apate angalau wadhami 200 kwa mikoa kumi. Jumla ya wadhamini kwa mikoa yote kumi isipungue 2000! Hata angepata wadhamini 2000 "mkoa mmoja" tu bado atakuwa hajakidhi vigezo. Hao 485 wa Shinyanga wamezidi sababu hawahitajiki wote, watahitajika angalau 200 tu kwa mkoa wa Shinyanga!!
 
wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
Na kweli bwana, maana CCM kwanza "tumesema" ni kitanda kwa kitanda mwaka huu.
tapatalk_1597222092059.jpg
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Kitu kibaya kinacho imaliza hii nchi ni unafiki... Appreciate pale kizuri kinapo fanyika hakuna binadamu asiye na mabaya.... Arusha mjini imejengwa hospitali mpya ya wilaya njiro.. longido pia imejemgwa hospitali mpya na kata ya murieti ninapoishi kuna kituo cha afya kikubwa tuu na kinafanya kazi....
 
Back
Top Bottom