Tundu Lissu anyanyuka, aanza mazoezi; kutoka Hospitali Nairobi wakati wowote

sikuwahi kuwaza kwamba Lissu anapendwa kiasi hiki tena hadi mbinguni..
mtu anapigwa tu risasi moja tunamzika, Lissu ni wa miujiza ya Mungu, kaonesha miujiza ya manabii waliotupwa kwenye moto wasife.
Kazi ya Lissu kuwatetea wanyonge haijakamilika, ni hadi pale mashoga na walaji wake za watu makubwa ya udhalimu yatakapodondoka.
 
Usilalamike siku shemeji akiamua kuangia mlango wa pili itakubidi ukubali yote
Nitabia za washabiki na wachereheshaji wa chama kile kinachotufanya masikini mpaka leo kwa miaka hamsin tangu uhuru....wanaume wengi wameharibiwa upande wa pili kwa kupenda buku saba za kirahisi.....
 
Hali mbaya kwa wanaomficha dereva wa Tundu huko Nairobi. Sina hakika kama Tundu atarudi TZ na dereva abaki Nairobi kwa kisingizio cha kutibiwa kisaikolojia.
 
Mara paaaaap!! lisu katoka hospital na kuja tz
Mmmh sipati picha hiyo press conference na wanahabari itakuwaje na ataanza kwa kuchambua nini!!?
Patamu.
 
hili gazeti limeonyesha mchoro wa kubuni akiwa kabeba gongo upande wa kulia, badala ya kushoto alikopigwa.
Sio mbaya lakin ,uzuri wanaziandika habari za lissu bila uoga.kuna magazet mengine yamekuwa ya kinafki kweli.hayo makosa madogo watarekebisha tuu.sisi tushapewa updates.sifa na utukufu tunamrudishia Yesu.
 
Mungu uliyeumba mbingu na nchi, ahsante kwa muujiza huu ulioutenda juu ya Hon TAL. Jina lako lihimidiwe milele!:(:p:D
 
Back
Top Bottom