Tundu Lissu aelezea jaribio la kumuua lilivyoathiri maisha yake

Najaribu kuwaza kiduchu tu!
Vipi kama wanaomfuatilia wataamua safari kutumia fursa ya Tundu Lissu kutembea tembea barabarani wakamtengenezea road accident na kumaliza mchezo kirahisi kabisa without leaving tracks back to them?
Awe makini sana, kuna wasomali, Wanyarwanda hata watanzania wengi wanaoweza kujubali kuifanya kazi hiyo kwa gharama nafuu sana.
 
Daahh,,,
mkuu nashkuru saana kwa hii clip nimejaribu kula Popcorn kwa kujifanya ati na mimi mtoto wa kishuwa,lkn nkaona popcorn zinaisha tu ,na clip enyewe hata sijaielewa.
Lkn nlivoanza kula MIWA huku nikiitazama hii video clip ndio nikaielewa na miwa bado haijaisha nikafahamu kuwa ALBADIRI huwa inakula na kutafuna watu taraaaaatiiiubuuu,,,ndio maana hata koro show zinafanya watu wafanyishwe gwaride kama tunaenda kupigana vita vya 5 vya dunia‍♂️
 
Back
Top Bottom