900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,915
- 6,378
bado inafanya kazi watu wote wanajua hadi mahakama isipokuwa wewe tu,hasa pale ishu inapokuwa na masilahi kwa serikaliHizo zinabaki kuwa hisia zako tu
bado inafanya kazi watu wote wanajua hadi mahakama isipokuwa wewe tu,hasa pale ishu inapokuwa na masilahi kwa serikaliHizo zinabaki kuwa hisia zako tu
Ewe Mgalatia jaribu kupunguza ufara.Magufuri kaua sana wapinzani na kuwafunga paspo na kesi na hata chaguzi za 2019 na 2020 kavuruga kisa hata wapinzani,sijui hizo bangi unazovuta zinatokaga wapi.Kwa hiyo Tundu Lisu aliyelipiwa Chopa na Mbunge wa CCM ni malaya?
Au Mbowe anayezunguka Makanisani akiwa na Halima Mdee na Esther Bulaya ni Malaya?
Siasa Siyo Uadui tutusa wahed
Wewe una hasira na Magufuli kuliko Tundu Antipas Lisu?Ewe Mgalatia jaribu kupunguza ufara.Magufuri kaua sana wapinzani na kuwafunga paspo na kesi na hata chaguzi za 2019 na 2020 kavuruga kisa hata wapinzani,sijui hizo bangi unazovuta zinatokaga wapi.
Mbowe ni muumini na kanisa siyo mali ya CHADEMASasa Kwanini alitoa Mbowe badala ya Saashisha mbunge na Mluteli ?😄
Abdul ni mpiga diliHata wanaochangiwa na Abdu ni washikaji zake
UWT mmejipangaje?Wewe una hasira na Magufuli kuliko Tundu Antipas Lisu?
Lakini mwenzako alienda kaburini kuweka mauwa 😂🔥
Sasa huyu Nchimbi Ndio hatakagi upumbafu Kabisa 2025 hata huyo Aida Kenani harejei Bungeni mtakuwa kama TLP Chama Cha Wanywa Mbege
Siasa ni Sayansi siyo Makasiriko 🐼
Kwahiyo alitumwa na Mwenyekiti wa CCM apeleke Mchango kwa Parish worker 😂Mbowe ni muumini na kanisa siyo mali ya CHADEMA
Subiri Wadudu wamshughulikie Lema 2025 😄😄UWT mmejipangaje?
Hata wewe unaweza kuchangia msikitiKwahiyo alitumwa na Mwenyekiti wa CCM apeleke Mchango kwa Parish worker 😂
Lema siyo size yao, Lema ni level ya juu snSubiri Wadudu wamshughulikie Lema 2025 😄😄
Wanasema Lema kule Canada ni Mdudu na Dunia ni Kijiji 😄😄Lema siyo size yao, Lema ni level ya juu sn
UWT jikiteni kujenga hojaWanasema Lema kule Canada ni Mdudu na Dunia ni Kijiji 😄😄
Hoja Ndio zimewaleta Akina Halima James Mdee 😂UWT jikiteni kujenga hoja
We yohana huna makasiriko muda wote unacheka, utaishi umri mrefu kama bibi yangu.Hoja Ndio zimewaleta Akina Halima James Mdee 😂
Sijui kama mtawezana naoHoja Ndio zimewaleta Akina Halima James Mdee 😂
Amina 😄We yohana huna makasiriko muda wote unacheka, utaishi umri mrefu kama bibi yangu.
CCM ni Chama kikubwaSijui kama mtawezana nao
Sijui kama mtawezana naoHoja Ndio zimewaleta Akina Halima James Mdee 😂
Kwani Lucas anasemaje kuhusu akina Halima?CCM ni Chama kikubwa