Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Wakuu umofia kwenu.

Niende moja kwa moja kwenye Mada...

Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world)

Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye maslahi mengi sana kwa watu binafsi kias kwamba wananchi na serikal hainufaiki na chochote.

Kuna tetesi kwamba Salary ya May ilikuwa tia tia maji sana kwa wafanyakazi,
Sasa jiulize unaendesha nchi ambayo hata mishahara huwez kulipa lakini rasilimali zilizopo zinawanufaisha waafrika wachache sana wanaoish masaki kwa majina ya wageni.

Ilifika mahali hata zile hundi za gawio la CRDB na NMB zilishalipwa kitambo sana February kama sikosei na pale ilikuwa kupiga picha tu(tetesi)

Sasa turudi kwenye nchi kuharibiwa.

1. Hakuna nchi yeyote duniani inayoendelea na iliyowahi kuendelea aina ya uwekezaji unaofanyika nchini.
Kila mahali wawekezaji wanavutiwa na kitu cha kwanza ni urahisi wa kupata uraia.

Mabilionea karibu wote wa Marekani wengi hawana asili kabisa ya US...

anzia Elon Musk mpaka kina Rihana.
Nchi ambayo haivutiii kwa watu wenye akili kuishi ni nchi ngumu sana kuendelea, hata aje nani.

Na hili liliasisiwa kimkakati na Mwalimu, ili atekeleze siasa zake za protectionism na ujamaa kwa amani.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo hakuna kitambulisho kinachokubalika bila Shaka yeyote kwa ajili ya Uraia...

Ipo mifano ya kutisha ya baadhi ya watanzania wamewah hojiwa uraia wao... hadi juzi kipindi cha Magufuli hayo pia yalitokea.... jaribu hivyo US uone cha moto.

Twende kwenye awamu ya Mwinyi
Rais Mwinyi aliruhusu biashara huria, wakti huo Mchonga akimlaumu na kumkosoa hadharani.. ilifika mahali matajiri wakawa na pesa kuliko serikali, mishahara inalipwa tarehe 40.

Ni kipindi ambacho kilikuwa hakina mfumo wowote wa kudhibiti biashara na kodi hazilipwi.

Kipindi cha mkapa ndio kipindi ambacho alianza kuwekeza nguvu kubwa sana kukubali Mrengo na agenda za wakoloni.

Kwanza kuanzisha mifumo na kuweka controls za kutosha, wakati huo huo tukigawa rasilimal zetu zote za toka uhuru kwa wageni, kwa kisingizio cha uwekezaji.

Sasa serikali ikaanza kuwa na hela za mauzo ya mali .. madini, viwanda, bank na kuuzwa kwa assets za serikali zikiwemo nyumba za oysterbay kwa bei za hasara na nyingine kuwapa madem zao... hawa hawa Waafrika wenzetu.

Taratibu idadi ya watu inaongezeka kwa kasi ya ajabu .. kutoka milioni 9 mpaka milioni 36 mwaka 2002.
Mahitaji yakaongezeka na hapo hapo tukaanza kulazimishwa na "wakubwa" wa ulaya kulipia gharama, ikiwemo shule nk.

Kuanzia 2005 ikaja Ari mpya, kumbuka JK anapewa nchi tayari rasilimali nyingi zishapigwa bei.

JK anaona sasa atengeneze proposals za maana kuvutia misaada kutoka nchi wahisani.. wakamuelewa wakampa hela za kutosha kuondoa nchi gizani.

Mungu si Athumani, tukagundua gas mtwara, kabla hajakaa Sawa, Gas yote ikauzwa kwa wachina.

Kumbuka income inayopatikana kwenye mbuga za wanyama, ikiwemo uwindaji ndio zinachangia fedha za kigeni kwa kiasi kikubwa.. lakini inayoleta faida ni
Serengeti, Kinapa na Ngorongoro... nyingine zote ni loss making.

kwenye hunting ni Msolwa, Matambwe pekee ndizo likuwa zinaingiza mapato mengi..

Kwenye kodi ndio balaa, kodi yote inayokusanywa haitosh kulipa gharama za uendeshaji wa serikali.

Hapa na pale 2015, Magufuli akaja, big reforms.. lakini aka repell all possibilities ya nchi kuwa na wawekezaji wakubwa. Wazawa wote waliokuwa na ahueni wakaondoka na Pressure na Sukari.

Kumbuka nchi inaendeshwa na sera zile zile za kijamaa, protectionism.... wawekezaji wanaopendwa na kupendelewa ni wahindi. watu weusi ni kupigwa na utitiri wa kodi miaka nenda miaka rudi.

2021 Samia anapokea nchi iliyo paralyse.paralyze.. miradi ya matrilioni inajengwa ukiangalia hazina hakuna kitu. Wananchi wenyewe hawataki kufanya biashara kutokana na uhuni kwenye kodi zisizolipika.

Twende kwenye hili la DP world:

Rais Samia anarithi kila kitu, mpaka wafagizi.. unapanguaje hiyo safu ndani ya siku moja?

Kazungukwa na watu wengi ambao hakuwachagua, wengine wanamuangalia kwa jicho la kutaka kuendelea kupata nafas, kaz na fursa.

Hili la DP world pengine kapigwa na hao wanaomzunguka... ila collective responsibility unawakataaje watu wako?

Kina Msigwa, na wengine hawamsaidii, wanachagua watu wenye uelewa hafifu sana kwenye mambo yaliyowazidi uwezo.
AG katoka kufanya utetezi nae haeleweki, wanaotoka wanaonekana hamnazo.

Ombi.
Hili Rais Alitalia njuga mwenyewe, aeleze tumefikaje hapa, na njia nzuri ni kama ile aliyokuwa anaitumia Kikwete ya kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam.

Watafiq.
 
Hivi huwa mnapata nini mnapotumika kupotosha Jamii?
unalipwa kiasi gani hicho?
Aisee
natamani tupigane vita
kiukweli tumeishachoka sasa ili watakaotangulia tutangulie na watakaobaki wabaki ili waanze upya!
 
Nchi ya Tanzania imeharibiwa na utawala wa CCM, na bado wanaendelea kuiharibu.
Kimsingi, karibu nchi zote za Afrika ni nzuri sana kiasili, kuna hali ya hewa nzuri, hakuna majanga ya asili, kuna ardhi nzuri sana na rasilimali nyinginezo za asili nyingi sana. Mungu ametupendelea sana katika hili, isipokuwa tatizo kubwa sasa kuna watawala na tawala za kishenzi na za hovyo katika hizi nchi zetu za ki-Afrika.
 
Wazee ni baraka na hazina katika Nchi !! Lakini wazee hao hao wapo waliotukanwa na kudhalilishwa !!

Unategemea nini kitokee katika Nchi ??!!
Tusubiri tuone !! Karma !!
 
Mengine yote nakubaliana na wewe..

Lakini hili la Rais Samia Suluhu Hassan na mkataba wake wa DP WORLD halipaswi kumalizwa hivyo. It's okay, anaweza kuzungumza na hao wazee wa Dar na hata wa kule Zanzibar...

Lakini ili kuleta genuiness, ni vyema akakubali tu kuwa amekosea na kwa hakika Mungu Yehova ni mwaminifu na wa haki siku zote, basi kwa hatua yake hiyo bila shaka yoyote Mungu atamsamehe na kum-rehemu kabisa na neema na baraka zitakuwa juu yake na nchi yetu yote pia...

Na Mungu Yehova akishamsamehe sisi ni kina nani tuendeelee kuwa na kisirani au kinyongo naye pamoja na wasaidizi wake.?

Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa. Ipo mifano mingi ya wafalme (ma - Rais) katika Biblia waliofanyaga makosa na baadaye kutubu na Mungu kuwasamehe. Mfano mfalme Hezekiah, Ahabu nk nk..

Lakini akiwasikiliza watu dizaini ya ChoiceVariable au Lucas mwashambwa, Nakuhakikishia kuwa, hukumu na aibu iko mbele yake...
 
Wakuu umofia kwenu.

Niende moja kwa moja kwenye Mada...

Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world)

Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye maslahi mengi sana kwa watu binafsi kias kwamba wananchi na serikal hainufaiki na chochote.

Kuna tetesi kwamba Salary ya May ilikuwa tia tia maji sana kwa wafanyakazi,
Sasa jiulize unaendesha nchi ambayo hata mishahara huwez kulipa lakini rasilimali zilizopo zinawanufaisha waafrika wachache sana wanaoish masaki kwa majina ya wageni.

Ilifika mahali hata zile hundi za gawio la CRDB na NMB zilishalipwa kitambo sana February kama sikosei na pale ilikuwa kupiga picha tu(tetesi)

Sasa turudi kwenye nchi kuharibiwa.

1. Hakuna nchi yeyote duniani inayoendelea na iliyowahi kuendelea aina ya uwekezaji unaofanyika nchini.
Kila mahali wawekezaji wanavutiwa na kitu cha kwanza ni urahisi wa kupata uraia.

Mabilionea karibu wote wa Marekani wengi hawana asili kabisa ya US...

anzia Elon Musk mpaka kina Rihana.
Nchi ambayo haivutiii kwa watu wenye akili kuishi ni nchi ngumu sana kuendelea, hata aje nani.

Na hili liliasisiwa kimkakati na Mwalimu, ili atekeleze siasa zake za protectionism na ujamaa kwa amani.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo hakuna kitambulisho kinachokubalika bila Shaka yeyote kwa ajili ya Uraia...

Ipo mifano ya kutisha ya baadhi ya watanzania wamewah hojiwa uraia wao... hadi juzi kipindi cha Magufuli hayo pia yalitokea.... jaribu hivyo US uone cha moto.

Twende kwenye awamu ya Mwinyi
Rais Mwinyi aliruhusu biashara huria, wakti huo Mchonga akimlaumu na kumkosoa hadharani.. ilifika mahali matajiri wakawa na pesa kuliko serikali, mishahara inalipwa tarehe 40.

Ni kipindi ambacho kilikuwa hakina mfumo wowote wa kudhibiti biashara na kodi hazilipwi.

Kipindi cha mkapa ndio kipindi ambacho alianza kuwekeza nguvu kubwa sana kukubali Mrengo na agenda za wakoloni.

Kwanza kuanzisha mifumo na kuweka controls za kutosha, wakati huo huo tukigawa rasilimal zetu zote za toka uhuru kwa wageni, kwa kisingizio cha uwekezaji.

Sasa serikali ikaanza kuwa na hela za mauzo ya mali .. madini, viwanda, bank na kuuzwa kwa assets za serikali zikiwemo nyumba za oysterbay kwa bei za hasara na nyingine kuwapa madem zao... hawa hawa Waafrika wenzetu.

Taratibu idadi ya watu inaongezeka kwa kasi ya ajabu .. kutoka milioni 9 mpaka milioni 36 mwaka 2002.
Mahitaji yakaongezeka na hapo hapo tukaanza kulazimishwa na "wakubwa" wa ulaya kulipia gharama, ikiwemo shule nk.

Kuanzia 2005 ikaja Ari mpya, kumbuka JK anapewa nchi tayari rasilimali nyingi zishapigwa bei.

JK anaona sasa atengeneze proposals za maana kuvutia misaada kutoka nchi wahisani.. wakamuelewa wakampa hela za kutosha kuondoa nchi gizani.

Mungu si Athumani, tukagundua gas mtwara, kabla hajakaa Sawa, Gas yote ikauzwa kwa wachina.

Kumbuka income inayopatikana kwenye mbuga za wanyama, ikiwemo uwindaji ndio zinachangia fedha za kigeni kwa kiasi kikubwa.. lakini inayoleta faida ni
Serengeti, Kinapa na Ngorongoro... nyingine zote ni loss making.

kwenye hunting ni Msolwa, Matambwe pekee ndizo likuwa zinaingiza mapato mengi..

Kwenye kodi ndio balaa, kodi yote inayokusanywa haitosh kulipa gharama za uendeshaji wa serikali.

Hapa na pale 2015, Magufuli akaja, big reforms.. lakini aka repell all possibilities ya nchi kuwa na wawekezaji wakubwa. Wazawa wote waliokuwa na ahueni wakaondoka na Pressure na Sukari.

Kumbuka nchi inaendeshwa na sera zile zile za kijamaa, protectionism.... wawekezaji wanaopendwa na kupendelewa ni wahindi. watu weusi ni kupigwa na utitiri wa kodi miaka nenda miaka rudi.

2021 Samia anapokea nchi iliyo paralyse.paralyze.. miradi ya matrilioni inajengwa ukiangalia hazina hakuna kitu. Wananchi wenyewe hawataki kufanya biashara kutokana na uhuni kwenye kodi zisizolipika.

Twende kwenye hili la DP world:

Rais Samia anarithi kila kitu, mpaka wafagizi.. unapanguaje hiyo safu ndani ya siku moja?

Kazungukwa na watu wengi ambao hakuwachagua, wengine wanamuangalia kwa jicho la kutaka kuendelea kupata nafas, kaz na fursa.

Hili la DP world pengine kapigwa na hao wanaomzunguka... ila collective responsibility unawakataaje watu wako?

Kina Msigwa, na wengine hawamsaidii, wanachagua watu wenye uelewa hafifu sana kwenye mambo yaliyowazidi uwezo.
AG katoka kufanya utetezi nae haeleweki, wanaotoka wanaonekana hamnazo.

Ombi.
Hili Rais Alitalia njuga mwenyewe, aeleze tumefikaje hapa, na njia nzuri ni kama ile aliyokuwa anaitumia Kikwete ya kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam.

Watafiq.
Rudisha bandari
 
Hivi huwa mnapata nini mnapotumika kupotosha Jamii?
unalipwa kiasi gani hicho?
Aisee
natamani tupigane vita
kiukweli tumeishachoka sasa ili watakaotangulia tutangulie na watakaobaki wabaki ili waanze upya!
Kwanini unasema nimelipwa mkuu? Kumbuka haya mambo bado yanazungumzika, bado mapema hatujachelewa
 
Nashindwaga kumaliza Uzi nionapo unaongelea Tanzania then unatoa mifano ya kufananisha na USA,naonaga pumba tupu
Kwani sisi tunaish kwenye kisiwa mkuu?
Lazima ujilinganishe na aliekuzidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom