SOFTWARE TUNAUZA PoS SYSTEM

Lusematic

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
12,012
11,698
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,
Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo na manunuzi kwenye duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako ,yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako...
PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla .

BEI ZA ZA HUDUMA

Malipo ya moja kwa moja yaani completely payment ni 4M ila pia unaweza kulipa kwa kila mwezi / awamu endapo ukiwa hauna kiasi cha hiyo pesa,
vile vile mteja ambaye atakuwa amelipa full payment ya 4M atapata offer ya service ya mwaka mzima kwa update zozote zitakazotokea

92,000/= kwa mwezi ,ambapo utatakuwa uanze kwa miezi mitatu ambapo jumla itakuwa 276,000/=
ila utafanya hivyo endapo ukiwa umeshindwa kuhimili malipo ya jumla ya 4M ..

100,000/= shilingi za kitanzania kukuingizia data entry za stock zako kwenye computer yako...

NOTE:
vile vile unaweza kulipia zaidi ya mwezi mmoja endapo ukihitaji kulipa kwa mkupuo

.UHITAJI WA EMAILS KWA MAKAMPUNI
Pia kwa kampuni zinazohitaji kutengenezewa EMAILS:

Hizi ni gharama za kutengenezewa emails

Basic package (5 people) - Tshs 200,000 per year

Platinum package (10 people) - Tshs 450,000 per year

Gold (20 people) - Tshs 600,000 per year

nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416

your welcome
View attachment 1542310View attachment 1542311View attachment 1542312View attachment 1542313View attachment 1542314
 
faida ya PoS system na gharama zake
IMG-20200819-WA0000.jpg
 
PoS system ama smart sales PoS system, hutumika kwenye supermarket nyingi na maduka makubwa yaliyopo sehemu tofauti tofauti ya nchi...

kwa mawasiliano zsidi piga namba 0692449416

karibuni sana
images.jpg
images%20(3).jpg
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
 
Kama unauza software hayo malipo ya 92k kila mwezi ni ya nini?
swali zuri sana boss...

systems hua zinahitajika kuwa updated from time to time,
halaf pia bei halisi ni 4 million, sema unakuta mtu hana hiyo hela kwa mara moja ndiyo maana tukaeka alipe kwa mwezi elf 92 mpka hiyo 4 million itimie
 
Je, baada ya mteja kutoa hiyo Milioni hizo update zitagharamiwa na nani?

Je, baada ya kutoa hiyo Milion 4 gharama nyingine zozote hazitagharamiwa na mteja?
 
Je, baada ya mteja kutoa hiyo Milioni hizo update zitagharamiwa na nani?

Je, baada ya kutoa hiyo Milion 4 gharama nyingine zozote hazitagharamiwa na mteja?
1.Je, baada ya mteja kutoa hiyo Milioni hizo update zitagharamiwa na nani?

Je, baada ya kutoa hiyo Milion 4 gharama nyingine zozote hazitagharamiwa na mteja?

JIBU
unapokuwa umelipia full payment ya 4M unakuwa umekamilisha malipo ila kama unavyojua hivi vitu huwa havikosi maintance hivyo service yeyote ya maintanance huwa ni juu ya mteja,,,
mfano mtu unaponunua gari ama chombo chochote cha moto inapotokea hitirafu lazima chombo ukifanyie service na gharama za service huwa ni za mmiliki husika aliyenunua chombo

NOTE
Ila mteja anayekuwa amelipia malipo ya jumla pia tunampa offer ya kumfanyia service ndani ya mwaka mzima baada ya mwaka kuisha ndiyo ataanza kulipia service kulingana na changamoto atakayokumbana nayo.
 
Ni ghali mno 4m du inafaa kwa matakiri yu sio kwa wajasiliamali
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,
Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo ya duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako ,yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako...
PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla .

BEI ZA ZA HUDUMA

Malipo ya moja kwa moja yaani completely payment ni 4M ila pia unaweza kulipa kwa kila mwezi / awamu endapo ukiwa hauna kiasi cha hiyo pesa,
vile vile mteja ambaye atakuwa amelipa full payment ya 4M atapata offer ya service ya mwaka mzima kwa update zozote zitakazotokea

92,000/= kwa mwezi ,shilingi za kitanzania ..

100,000/= shilingi za kitanzania kukuingizia data entry za stock zako kwenye computer yako...

NOTE:
vile vile unaweza kulipia zaidi ya mwezi mmoja endapo ukihitaji kulipa kwa mkupuo
.

nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416

your welcome
View attachment 1542310View attachment 1542311View attachment 1542312View attachment 1542313View attachment 1542314
 
Hifadhi stock ya biashara yako kupitia PoS system ili uweze kufanya mahesabu ya mauzo ya biashara yako kwa njia rafiki na yenye uhakika...

1.inakusaidia kujua mauzo uliyoyafanya kwa siku,wiki mpaka mwezi

2.inakusaidia kufanya stock yako kuwa kwenye mpangilio bora wa kisasa zaidi na kujua kila kinachotoka na kuingia

3.inakusaidia kujua kiasi cha faida ulichoingiza pia inakuwezesha kujua hasara iliyotokana na changamoto ya biashara yako.

karibuni sana 0692449416
images%20(9).jpg
images%20(8).jpg
images%20(7).jpg
images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
images%20(4).jpg
 
karibuni sana wakuu....
tuishi kisasa zaidi kwa kurecord mauzo na manunuzi yetu.....
 
karibuni sana system yetu ya kukuwezesha kujua mauzo na manunuzi ya biashara yako ni rafiki pia yenye ubora wa hali ya juu kimatumizi...

karibuni sana 0692449416
IMG_20200829_132732.jpg
IMG_20200829_132618.jpg
 
habari njema kwa wafanya biashara.....?..

kampuni yetu pendwa ya NEXIS inatoa offer ya kukupatia kwa kukuwekea system ya .mauzo bure na utatumia ndani ya mwezi mmoja baada ya hapo unaweza kufanya chaguo la kuweza kuinunua system...

karibuni sana wakuu,,,offer bado inazidi kusogea
 
Back
Top Bottom