Mbuzi wetu wapo wa aina mbalimbali wadogo na wakubwa na vilevile hula majani na vimiti ambavyo vinafanya nyama yake iwe na virutubisho muhimu kwa afya yako.
Mbuzi wanakula majani.jpg
Tareh 12 wakubwa.jpeg
 

Attachments

  • bandani.jpg
    bandani.jpg
    99.3 KB · Views: 15
  • Mbuzi na kondoo akishuka.jpg
    Mbuzi na kondoo akishuka.jpg
    111.2 KB · Views: 16
  • mbuzi.jpg
    mbuzi.jpg
    91.2 KB · Views: 14
Halafu nimeona Kuna traffic amekamata mbuzi wawili wamefanya makosa gani ama wamezidisha speed?
 
Vp kuhusu uric acid??
Inayoleta gaut??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vile vile kula nyama mbichi ndio chanzo kikubwa cha gout yaani nyama ambayo haijaiva vizuri na wakati hapo hapo unapiga kinywaji inatengeneza hii uric acid ya kufaa mtu. Jiulize tu hakuna watu wanakula nyama kama wamasai na hasa mbuzi ila hawan hili tatizo kwa wingi nenda kaangalie jinsi wavyochoma zao wanachukua muda hata wa masaa manne mpaka matano tena kwa moto wa polepole. Njoo uswahilini kwetu nyama inachomwa dakika ishirini yaani inababuliwa.
 
Mbuzi wazuri kwa ajili ya nyama na kufuga wanapatikana kwa bei ya Tshs 130,000/ mpaka 200,000/ Kutegemeana na ukubwa tupigie 0713-318771.
 
Back
Top Bottom