mwagito25
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 633
- 351
- Thread starter
- #441
Upo sahihi wakati mwingine vipimo vinagoma lakini matokeo yanakubaliNi kama bahati tu kuna siku tumechimba maeneo ya rondo plateu kama unavojua elevation yake ni above 500 m sasa kimechimba hiko kwenye 140 m yamefumuka maji hayo yaani kukawa bahari kijijini wanakijiji wakatupa mpaka mademu bure na kuku...ni kama zali tu hizi kazi