Tunatoa huduma ya kufundisha kuandika na kusimamia miradi na kufanya tafiti

isaacklawa01

Member
Aug 30, 2014
57
106
Tunatoa huduma zifuatazo kwa WELEDI na katika UBORA wa KIPEKEE,hivyo basi karibu sana tukuhudumie kwa kukushauri na kukusimamia vizuri kwenye hiyo CHANGAMOTO yako inayokusumbua:
Kufundishwa||Kuandikiwa MAANDIKO ya MIRADI hasa yale ya kimkakati kwa ajili WAWEKEZAJI wa taasisi mbali mbali(Project & Strategic Plan Evaluation Management) kama vile:Business Plan|| Business Proposal||Strategic Business Planning||Project Proposal||Feasibility Study|| and Report Writing.

Ushauri||na Usaidizi wa namna bora ya kuandaa KATIBA za VIKUNDI VYA NAMNA ZOTE kama vile:VICCOBA||SACCOSS||VIKUNDI VYA KUSAIDIANA||TAASISI za KIDINI||na TAASISI ama MASHIRIKA mengine yasiyo ya kiserikali kama vile NGO's.

Ushauri||na Usaidizi wa kufundishwa namna bora ya kufanya utafiti wako wa KITAAULUMA(Academic Research) kama vile:Research Title||Concept Paper||Concept Note||Research Proposal||Data Analysis||Data Collection Techniques||Reserach Report Writing||Defense Techniques||na Research Tools Techniques.

Mafunzo||na Semina(Trainings) mbali mbali zenye usaidizi katika mambo ya UONGOZI(Leadership)||MAUZO(Sales)||MASOKO(Marketing)||UANDISHI na USOMAJI WA VITABU||UJASIRIAMALI|| FEDHA na UWEKEZAJI||MENTORSHIP PROGRAMS||COACHING SESSIONS||na USIMAMIZI wa BIASHARA kwa ajili ya BIDHAA ama HUDUMA zako.

WASILIANA NASI:KUPITIA NAMBA HII +255712703839 AU KWA BARUA PEPE:isaacklawapage@gmail.com kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zetu zilizopo TABATA SEGEREA_KARIBU TUKUHUDUMIE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom