TUNATESWA na DIVIDE and RULE TZ

May 1, 2012
95
96
Jana niliandika kuhusu article ya CHADEMA HATARI INAKUJA TAZAMENI.Watu wengi kwa kukurupuka walichangia hoja ile kijujuu pasipo kufikiri.Leo napenda kuwashauri wote wanaoumia na kutaka akina SLAA na MBOWE waliokamatwa leo eti wananchi waende kuwatoa pale CENTRAL POLICE.Ninachotaka kuwataarifu wale wasiojua nchi yetu kwa sasa UDINI ndio tatizo.UDINI umepandikizwa na SERIKALIi ndio maana leo WAISLAM wakisikia SLAA amekamatwa wao kwao ni tafrija so Wtz wenzangu SERIKALI ilianza kutugawa tangu mfumo wa siasa uanze na ndio maana UPINZANI haufanikiwi kwani unahusishwa na UDINI,UKABILA,UKANDA na MACHAFUKO.REJEA NCCR wakati MREMA anatamba,CUF kilipokuwa ngangari kwelikweli na sasa CHADEMA.SULUHISHO la haya ni Wtz wajitambue waamke na wakatae KUGAWANYWA vinginevyo ni NDOTO UPINZANI kushika HATAMU na hata kuandaa HARAKATI ya maana.Mungu ibariki Tz.
 
huna hoja kaka jipange, wewe ndio una devide watu, au umetumwa na magamba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom