Tunatamani maendeleo ya Wazungu ila ukweli mpaka kufika walipo walimwaga sana damu

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,537
1. Vita za wenyewe kwa wenyewe wakigombania ardhi na maliasili
2. Vita za ki technolojia wakishindana ugunduzi na industrialization
3. Vita na mataifa waliyoya colonize

Hawa jamaa ni watafutaji sana. Huwezi elewa haya until upo huku Europe. Hawa jamaa wana spirit ya kichaga na kikinga x10!

Imagine vita zote kubwa wamepigana na mpaka leo wengne wanapigana. Kuna kipind Mjerumani hadi alitaka tawala Dunia! Pia kuna muda Mjapan naye alitaka fanya hivyo.

Imagine wametoka kwao wakaja Africa kutuchapa viboko. Kiukwel tunasemaga mtu mweusi ni noma ila ukwel ni kwamba mtu mweupe ni hatari. Imagine kaja katuchapa bakora na kutuchukua kama mateka na watumwa. Kiufup mtu mweusi huna cha kuongea mbele ya Mzungu ndio maana wanatudharau sana. Ukiwa Ulaya ndio utaelewa dharau.

Na bado viongozi wa Africa kila kukicha kupitisha bakuli kuomba omba, basi ndio kabisaaa tunaonekana mafala.

Na viongoz wa Africa na watu wa NGO wakija huku kuomba hela wanaonyesha picha za Waafrika choka mbaya, njaa, vifo ili wapewe pesa, basi Wazungu wanahisi Africa yote ndio ipo hivyo. Aibu sana.

Uandishi mbovu ndio, sijasoma HKL.
 
Wazungu ni majasiri sana. Just imagine karne ya kumi na tisa wanakuja kuishi Africa wanajenga maporini huko wanaanzisha plantations na maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom