Wapumbavu wanaotetea ubinafsishaji (ashakum si matusi) Wana hoja kadhaa!
Ila moja iliyo strong kwao ni wizi wa fedha za umma kwa watendaji wa Taasisi!
Huu Ni upumbavu!
Kwa nini utoe rasilimali zako kunufaisha jirani kisa mwanao ni mwizi?
Wapumbavu Hawa wanasahau Serikali inazo mamlaka mbalimbali zilizowekwa ili kudhibiti huo wizi ili kuleta tija ya maendeleo ya uchumi!
Yapo majeshi ya kila Aina, mahakama zipo, magereza zipo, sheria zipo, wakaguzi wapo!
Hivi kwa mazingira haya mwizi anachomokaje?
Wapumbavu wanamlaumu fisadi badala ya kulaumu majeshi yetu, kulaumu wakaguzi wetu, kulaumu bunge letu, kulaumu Amiri Jeshi Mkuu na wasaidizi wake!
Kamwe, Hakutakuwa na sababu Wala hoja itakayojustify ubinafsishaji wa Rasilimali zetu! Never!
Anayesema anabinafsisha Rasilimali ya Taifa letu kwa sababu watendaji Ni wezi, aanze kwanza kuvunja mamlaka zote za ulinzi na usalama, na wasimamizi wote wa Mali za Raia!
Akihisi kuzivunja ni Jambo gumu, Basi azibinafsishe mamlaka hizo!
Nia ya kulinda Mali zetu Ni finyu Sana kwa viongozi wetu, na majeshi yetu!
Fikiria CAG katoa report ya upotevu wa fedha, lakini maafisa wanaohusika wote wanaendelea kula Bata!
Hakuna jambajamba Wala msukosuko!
Hakuna Jeshi limetoa hata onyo la maneno!
Bunge halina mpango wowote!
Mamlaka zipo kimyaaaaaa!
Wizi unaendelea, halafu hao hao waliopaswa kuukomesha wanasimama na kuuza Rasilimali zetu kwa hoja kwamba Watendaji Ni wezi,
Je, Ina maana hawajui kuwa, tumewapa dhamana ya uongozi kusimamia majukumu ya serikali ikiwemo kudhibiti huo wizi ili tunufaike na Rasilimali zetu?
Munaotetea ubinafsishaji kwa hoja ya wizi, natoa amri "Fungeni midomo yenu!"
Narudia Tena, munaotetea kunufaisha wageni kwa rasilimali zetu, Nyamazeni!
Haiwezekani tuendeleze upumbavu! Akili zetu zitafakari kujikomboa Kama Taifa!
Munaotetea ubinafsishaji kwamba Watendaji wezi, ni ninyi pia munatetea wezi wasiadhibiwe!
Akitokea Rais mkali akiwapa misukosuko, munasema anawaonea,
Wakiachwa munasema Rasilimali zibinafsishwe kwa kuwa Ni wezi!
Rasilimali zetu tuziendeshe wenyewe!
Wizi utokomezwe!
Technolojia ipasayo iwekezwe na Serikali
Iweje baba unashindwa kuhudumia familia kwa sababu ya ulevi, Kisha uone kuwa Suluhu Ni kumuomba mwanaume mwingine amlee mkeo na watoto wako,?
Suluhisho Ni kuacha pombe!
Tuendelee kuilinda Nchi yetu kwa manufaa ya vizazi vyetu!