Tunaomba mwenye historia ya maisha ya mbunge, Richard Ndassa aiweke hapa

Hili jina kama la mtu mwenye sura tofauti na hii iliyopo kwenye picha au labda wasukuma wanabadilishana majina
 
Meneja mauzo gazeti la mfanyakazi,Sina hakika kama aliwahi kushika Tsh 300,000/= kwa kazi aliyokuwa anafanya.
 
Miaka ya themanini alikuwa JUWATA akisimamia uchapishaji wa gazeti la Mfanyakazi. Alianza kuibuka alipAogombea ubunje na naona anakubalika maana ni muda mrefu bado ni yeye tu. Alikuwa mtu wa kawaida sana!!!!

Anakubaluka kwa wananchi au kwa tume ya uchaguzi?
 
Miaka ya themanini alikuwa JUWATA akisimamia uchapishaji wa gazeti la Mfanyakazi. Alianza kuibuka alipogombea ubunje na naona anakubalika maana ni muda mrefu bado ni yeye tu. Alikuwa mtu wa kawaida sana!!!!

Siyo kweli kukaa kwake mda mrefu eti ndiyo anakubalika,hayo yanaweza kuchangiwa na haya;
-Mbinu chafu za ccm kwa kukandamiza demokarasia na kuwajeruhi na kuwaua wapinzani.
-Umbumbumbu wa watanzania,baadhi ya majimbo watz ni washenzi pamoja na dhiki zao wameikomalia ccm kama mungu wao.
-Ugawaji wa rushwa ya nyama,machekeche ya kuvaa kichwani,mabrauzi,vitenge,ubwabwa na vijihera vya kuvutia ugoro wazee wa vijijini siku mbili tatu hivi.
Wanakwimba jitambueni,shtuka.
 
Huyu wakati akiwa meneja wa mauzo wa gazeti la Mfanyakazi , aliwahi kuiba fedha yote iliyokuwa inarejeshwa kama retuns na ndizo alitumia kwenda kugombea ubunge akitokea eneo la Manzese TIP TOP kwenye guest moja maarufu sana wakati huo inaitwa TIP TOP , pia alikumbwa na kashfa ya kumtapeli mfanya biashara mmoja shilingi milioni 9 wakati huo na kutokomea nazo, ila baada ya kuupata ubunge alikuja kurejesha fedha za mfanya biashara huyo.

Akiwa Dodoma hupnda kuishDodoma Hoteli wakati yye han uwezo kwani chmba wa siku ni kuanzia aki 2 na kendelea , a hpenda sana kunywa pombempaka usikua manane ;;;;;;;;;

Hapo kwenye kunywa pombe hadi usiku wa manane ni kweli kabisa maana mara kibao tunakutana Villa Park na Mwanza hotel kwenye band hadi usiku wa manane.
 
Ni bora wafe wabunge kumi aina ya Ndassa kuliko kufa ndama mmoja wa Mmasai hata kama ndama huyo anaumwa mahututi. Sitamani hata kumuona huyu mzee kwa jinsi nilivyochukizwa nae.
 
Hatustahili kumshangaa Ndassa na kutaka kwake nyongeza ya posho, wabunge wote wa CCM wanataka posho ziongezwe na Ndassa ni mwakilishi wao, kwa upande wa wapinzani anayeatamani posho ziongezwe mara dufu ni Shibuda, M rema na Cheyo. Zitto anzipinga posho kinafiki akijua ameshakunja mabilioni aliyhongwa na CCM kuihujumu CHADENMA
Unaongea tu kama mwehu. Mrema kanukuliwa hadharani akiwaponda wanaotaka nyongeza ya posho. Sasa wewe source yako ni ipi?
 
Huyu Ndasa pia anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kwa kitambo sasa. Akiona hii atastuka asiogope kwani hii biashara ni mkongojo wa ccm hakuna wa kumbugudhi.
 
Siyo kweli kukaa kwake mda mrefu eti ndiyo anakubalika,hayo yanaweza kuchangiwa na haya;
-Mbinu chafu za ccm kwa kukandamiza demokarasia na kuwajeruhi na kuwaua wapinzani.
-Umbumbumbu wa watanzania,baadhi ya majimbo watz ni washenzi pamoja na dhiki zao wameikomalia ccm kama mungu wao.
-Ugawaji wa rushwa ya nyama,machekeche ya kuvaa kichwani,mabrauzi,vitenge,ubwabwa na vijihera vya kuvutia ugoro wazee wa vijijini siku mbili tatu hivi.
Wanakwimba jitambueni,shtuka.

Kuna jamaa anaitwa Mpuya alionyesha nia kugombea wakamKolimba......kidole kilielekezwa kwa huyu mnayeulizia habari zake

CCM bila mbinu hukai.....
 
Huyu Mheshimiwa simfahamu sana lakini siku moja, zaidi ya miaka mitano imepita, nilimkuta barabarani baada ya Gairo akielekea Dar amesimama gari yake imepata pancha. Mimi nikiwa mtumishi wa Serikali nilimtambua kuwa huyu mwenye tatizo pembeni mwa barabara ni Mbunge. Nikamwambia dereva asimame. Dereva akasimama akabadilisha tairi lenye pancha na kuweka lile la spea ambalo Ndassa alikuwa nalo kwenye gari yake, Nissan. Baada ya dereva wa Seikali kumaliza ile kazi kwa muda mfupi tukaagana na Ndassa ili kuendelea na safari. Kitu kilichonishangaza wakati ule na mpaka leo bado nashangaa ni kwamba Ndassa hakumshukuru hata kwa asante ya mdomo yule dereva aliyemsaidia wala mimi niliyesimamisha gari ili tumpe msaada. Wote tuliendelea kujiuliza wa nini hakuweza kushukuru. Ikiwa ni kweli anahusika na kuanzisha hoja ya posho kwenye Bunge la Katiba, basi hii ni mara ya pili kuoneshwa kuwa Ndassa anadhani akisha kuwa Mbunge basi ni halali yake kutumikiwa na ye yote yule ambaye siyo Mbunge.
 
Duh aiseee huyu hafai hata kwa dawa.
 
Kama kweli hana diploma na vyeti alivyoeleza kwenye CV yake, wahusika wanatakiwa kumchukulia hatua. Huyu ni miongoni mwa mafisadi wa Elimu Tanzania. Jimboni kwake ni vumbi kwenda mbele na umaskini usiseme na miongoni mwa maeneo ambayo wananchi hawafahamu hata kuongea Kiswahili zaidi ya Kisukuma. Shame on him.

Jina lake alilotumia akiwa shule ya msingi Ibindo wilaya ya Kwimba lilikuwa "Mganga Shigemelo". Hili la Richard Ndasa hatujui lilitoka wapi. Wengine hatuna uhakika kama kweli alisoma sekondari, maana ilishasikika kuwa mara baada ya elimu ya msingi, alikuja Dar kuuza magazeti.
 
Back
Top Bottom