Tunahitaji watu waliosomea house keeping veta (2 post)

hoter.one5

Member
Sep 9, 2013
41
95
Habarini kampuni ya TEN ASSOCIATES inawatangazia umma kuwa tuna nafasi mbili wazi kazi ya usafi ofisini muombaji awe na cheti kutoka VETA Fani ya HOUSE KEEPING tuma maombi yako kupitia anuani ifuatayo
Ukiambatanisha vivuli vya vyeti vyako pamoja na cv yako kwenda anuani hii hapo chini
MANAGER,
TEN ASSOCIATES,
P.O.BOX 148,
SONGEA
E-mail: tenassociate@gmail.com ...copy ... etj.prof@gmail.com

maulizo piga/sms/whtp +255626402722

NB: Usilipie pesa kwaajili ya kupata kazi ..kazi zetu haziuzwi kwetu wala kupitia mawakala wa ajira za TEN
 
Sawa. Ila Kwa nature ta KAZI yenu hiyo ondoeni kigezo Cha kuwa na cheti Cha veta, Kuna vijana wa kiume na kike kibao mitaani ambao wanatafuta fursa kama hizo lakini hawana elimu na KAZI wanaziweza, hiyo fani mtu akielekezwa kwenye work orientation ndani ya wiki tu kashaiweza...so msibanie watu ajira Kwa kigezo Cha cheti, maana mtu anaweza kuwa na hiko cheti lakini utendaji wa KAZI akawa zero.
 
tunashukuru kwa maoni yako na sisi kama watanzania wenye lengo la kufikia umma tunalipokea kwa mikono miwili tunaomba wajulishwe wenye sifa hizo maana bado tunaproject nyingi lakini wateja wetu wanahitaji tuwe na watendaji wenye sifa hizo ila wengine wanaruhusiwa kuomba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom