Tunafanana zaidi...

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Hii ni siri ya kudumisha AMANI na maelewano.

Sisi wanadamu tuna mambo mengi sana tunafanana kuliko tunavyo tofautiana.

Ukiishi kwa ukweli wa jambo hili utakuwa mtu wa amani na maelewano na watu wengi hata wana JF wenzako.
 
Bado Ni kweli kwamba,
Sisi wanadamu tuna mambo mengi sana tunafanana kuliko tunavyo tofautiana.

Ukiishi kwa ukweli wa jambo hili utakuwa mtu wa amani na maelewano na watu wengi hata wana JF wenzako.
 
Makyao unataka kusema nini? Mbona hili liko wazi tu yaani ni sawa na kusema sisi binadamu tumeumbwa kwa udongo na udongoni tutarudi. Is this somthing to share while we all know it is obviously "obvious"? Lete vitu vipya bana tusiharibu keyboard zetu na mg bite bure lol.
 
Mfamaji,
Sipendi kusema kuwa hutazami mambo kwa undani,
ila nikushauri TO THINK OUTSIDE THE BOX.
Thanks anyway.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom