Tumwombee Rais na Nchi yetu

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Mar 12, 2008
280
51
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Kumwombea kwa sasa haitasaidia!...tumeomba sana na kukesha pale PTA Halls miaka mpya yote, lakini sala zinadunda!
Dawa atoke, awaachie wanaoweza!
 
PJ tuombe bila kuchoka, ni kweli bila Mungu hapa hatutoki shetani katupiga bonge la pini. Hali ni mbaya....
 
Paka J, naona hapo Secretary General amemaliza ! Mambo ni magumu ni kama hamna serikali.
 
Kwanini tunamsingizia Mungu ?? Mipango ya Tanzania ikichukuliwa na Mataifa mengine yanasonga mbele sisi tunabaki nyuma !!!
 
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Kuna mambo ya kumwomba Mungu, lakini Hali mbona like Nadine ya uezo wetu Jamari!! kwamni kumiuzuru kwa raisi lazima kumwomba Mungu? Hapa hahitajiki miracles kaka.
 
unajua mtu akifa anakuwa amepumzika...labda tuanze kufikiria maombi hayo..
 
Tumwombe Mungu ili Israeli afanye mambo yake fastafasta tuweze kumchagua rais mwingine fastafasta then fastafasta tuishi kama paradiso, Haleluya!
BWANA anaweza, nani kama BWANA, BWANA ahimidiwe!
 
Jamani huyu ni Raisi ambaye mlimchagua wenyewe kwa kura zenu, sasa mbona mambo yanamwendea mrama mnamkimbia! Nadhani mkuu wa nchi anahitaji saport yenu kama wananchi kipindi hiki kuliko kipindi chochote! Kumbukeni hii nchi ni yetu sote sio ya ccm wala CDM tuweke tofauti zetu pembeni tumwombe Mungu ili kulinda umoja na amani tuliyo nayo.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
tumeomba sana ila kila tukipiga sala sms inarudisha jibu(sir god kwenye hili amewaweka black list jaribuni kule mlipoanzia)
 
.....Matatizo mengi ni ya kujitakia/Uongozi mbovu sasa tuseme kaingiwa na pepo au nini kimemtokea maana wengi walisema ni chaguo la Mungu.
 
Ni shetani tu huyo ndo anajaribu kuchafua hali ya hewa! Najua tukiwa wamoja tutashinda......
 
mapepo sugu hayatoki kwa maombi mpaka kwa kafara --- :lol: yanywe damu za watu
 
maombi ya nini wakati ndo chaguo lake kama ilivyokuwa inaanikwa na wana mtandao 2005?
 
We'd all like to vote for the best man, but he's never a candidate. ~Frank McKinney "Kin" Hubbard
 
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu
kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu?
Kwa imani zetu tumwombe mungu alinusuru taifa letu, najua makamanda wa CDM walisema hii nchi haitatawalika na sasa
dalili zote zinaonesha nchi haitawaliki. Namwonea sana huruma JK, naionea huruma nchi yangu bila kujali itikadi zetu tuungane kulinusuru taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Kweli Kabisa Tumuombee Jk akipanda ndege kwenda kuzurula kam kawaida Yake na Apotee moja kwa moja ili tuanze upya kuisuka nchi yetu...can i get Amen.?
 
Tumwombe Mungu ili Israeli afanye mambo yake fastafasta tuweze kumchagua rais mwingine fastafasta then fastafasta tuishi kama paradiso, Haleluya!
BWANA anaweza, nani kama BWANA, BWANA ahimidiwe!

hahahahahahaaaa.....fastafatsa na bia zishuke bei fastafasta.........damn!!
 
Back
Top Bottom