Tumfahamu Mtakatifu/Saint Padri Pio

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Padri Pio kama anavyojulikana na wengi alizaliwa mwaka 1887 Italy akiwa ni padri wa kikatoliki,Maajabu ya Padri Pio...

Alipata majeraha ktk mikono yake yaliyofanana na yale ya Bwana Yesu(stigmata) ajabu yake yalikua yakitoa harufu nzuri ya perfume na hayajawai kuoza,alikua anaweza kuonekana sehemu mbili kwa wakati mmoja(bilocation) mfano dar then ukamwona Arusha,Ulikua ukienga kuangama kwake ukificha dhambi atakwambia dhambi flan umeacha na pia kuongea na Malaika wake mfano Angel Michael,Rafael na Gabriel.

Katika sala zake za kila siku alikua akiomba kushiriki mateso ya Bwana Yesu Kristu alipata homa kali ambapo alikua akiwekewa thermometer Inapasuka kutokana na joto kali Drs walishindwa kujua chanzo cha homa iyo.Alifariki mwaka 1968 huko Italy na kutanganzwa mtakatifu na Pope John Paul 2 mwaka 2002 Wakatoliki wengi wamekua wakimtumia katika maombi mbalimbali na kutoa ushuhuda wa kufanikiwa...

Huyo ndo Saint Padri Pio kwa kifupi sana.#Waweza ongeza pia jinsi unavyomfahamu Mtakatifu Padri Pio.
 
huyo alikuwa ni mshirikina pure, hili kanisa lilishaharibiwa kitambo kumbe..hakuna miujiza ya hizo unaonekana huku at the same time upo kule..na hii desturi ya kutangazana watakatibu ni tatizo maan ni ibada ya wafu .. na Mungu hapendi mtu akisha kufa hana lake tena hapa ulimwenguni hapo ni yeye na Mungu wake tu asubiri kulipwa kwa kadri ya matendo yake,hii ya kusema unasali kupitia hao watakatifu wafu ni uwongo hata usali mwaka na miaka mtu mfu hawezi kukusaidia kitu..imani yetu wakrito imejegwa kwa Yesu tu yy ndio njia ya uzima hakuna mtu atakayeenda kwa Baba pasipo kupita kwake....
 
Mpaka uwe mtakatifu inachukua muda mrefu sana Ndugu kutangazwa yote ayo nikwa ajili ya kufanya utafiti ila kujua hakuna nguvu ya ziada iliyotumika iwe ushirikina au mbinu yyte ya kisayansi
 
Mpaka uwe mtakatifu inachukua muda mrefu sana Ndugu kutangazwa yote ayo nikwa ajili ya kufanya utafiti ila kujua hakuna nguvu ya ziada iliyotumika iwe ushirikina au mbinu yyte ya kisayansi
Tafuta kitabu cha Mtakatifu Rita usome muda mfupi kabla ya kufariki alitokewa na Bwana Yesu,na Yohane Mbatizaji na mwili wake upo mpaka leo ukitoa harufu nzuri kama uwa la Waridi
 
Tafuta kitabu cha Mtakatifu Rita usome muda mfupi kabla ya kufariki alitokewa na Bwana Yesu,na Yohane Mbatizaji na mwili wake upo mpaka leo ukitoa harufu nzuri kama uwa la Waridi
Upo pande gan?? Binafsi nitapitia wikipedia alaf nitarud
 
Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
 
Ushuhuda mojawapo wa Padri Pio...Mama mmoja alikua akiomba kupitia kwa Padri Pio ili mtoto weke aweze kupona ugonjwa wa Kansa uliokua unamsumbua kwa bahati mbaya yule mtoto alifariki Mama yule alikata tamaa kbsa hata kanisani akawa aendi tena na kusali hasali tena siku moja usiku amelala Padri Pio akamtokea akamwambia mama sio kwamba hatujamuombea mtoto wako tumemwombea sana ila ni kusudi la Mwenyezi Mungu mwanao afariki Since that time yule mama hakuacha tena kwenda kanisani na wagonjwa wengi tu wamepona kansa kupitia maombezi ya Padri Pio
 
Hivi kwa kipindi hiki, tanzania Kuna mtakatifu kweli.....!
Kwa Tanzania mpaka sasa hatuna mtakatifu yoyote anayetambuliwa na kanisa...Isipokuwa kuna Sista mmoja Sr Bernadeta Mbawala(OSB) wa Songea kuna mchakato wa kumtangaza Mwenyeheri bado unaendelea amekuwa akiwasaidia watu mbalimbali kwa maombezi yake Unaweza nunua kitabu cha historia ya maisha yake...
 
Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
Wala haihitaji kuwa kama unavyofikiri mkuu,imani ni kile kitu ambacho umekisoma,umekielewa na unaamini kwa dhati ya moyo wako kwamba kwa hicho kuna mafanikio yawe yakielimu,afya ya mwili,uzima wa roho(samahani sijui uu imani gani)but kwa sisi Catholics tunaamini kuwa baada ya kifo kuna kuishi tena..Mkwawa anaweza kuwa kwa kipindi chake alipewa Karama na Mungu yakufanya mambo fulani fulani yakushangaza pamoja na kusaidia watu but nadhani tatizo hakukuwa na mtu wakuyaweka ktk makabrasha ndiyo maana watu miujza yake wanaiweka ktk kundi baya.
 
Hivi kwa kipindi hiki, tanzania Kuna mtakatifu kweli.....!
Eee yupo mkuu, tena yeye bado yuko hai, wenzie wanatangazwa wakishakufa yeye katangazwa akiwa bado yu hai! Ukimgusa tu cha moto utakiona!!
 
Back
Top Bottom