Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Pengine ni kweli kila mtu ana haki ya kuajiriwa na hata baibo inasema asiefanya kazi na asile sijaona alie na baba kigogo ama mama asifanye kazi ..hapana wote bado tuna nafasi sawa ya kufanya kazi wapi hapo dipo tunarudi kwenye mada....
Wengi wamelalamikia bot,wizara za afya kama gazeti la jamhuri la leo linavyosema ila pengine lazima tujue hawa watoto awakukaa pale bahati mbaya ...kuna chain ilipita toka kwa wazazi wao ikawapitia ambayo nakuhakikishia chain hiyo hiyo itawapitia na watoto wao watakaozaliwa ama waliozaliwa..so si muda muafaka ila ni vyema na sie tukajiuliza sasa watoto wameshakaa pale imagine awatoki tena na wakitoka bot wanaelekea kufanya ikulu
je wewe umemuandaje mtoto wako kuchukua nafasi za hawa watoto wa vigogo ninachoamini awaishi milele ila hata wakikimbia nchije umemsomesha mwanao vya kutosha..je ule mtandao wa wazazi uliowapa nguvu kuingia hapo umejiandaaje kuuvurga kumbuka tena awakuja bahati mbaya
ni wakati wetu tujiulize jinsi gani ya kuzichukua hizo position ama mungu atakapowapenda ama kwa kufight wasiwaingize watoto wao wajawo ...how..kumbuka nao watawapeleka shule nzuri kama wazazi wo walipowapeleka na wakiwa na vyeti atuna jinsi so jiulize
tuko wangapi??