Tumejaribu kufanya mapenzi/sex bila mafanikio

Nawasalimu wote wana JF,

Naombeni ushauri katika hili tafadhali, majibu ya kejeli sipendi,

Nina miaka 26, katika maisha yangu sikuwahi kufanya mapenz/sex, nina mpenz ambaye mwanzo tulikubaliana kutofanya mapenzi hadi tufunge ndoa lakini tumeshindwa kuvumilia.

Tumejaribu kufanya mapenzi zaidi ya mara 3 kwa siku tofauti bila mafanikio, yaani njia yangu ya uke ni ndogo uume umeshindwa kuingia, naombeni ushauri nini cha kufanya, sisi tumewaza labda tukamwone daktari,

Lakini kabla ya kwenda kwa daktari tafadhali naombeni ushauri wenu.

Nawasilisha,

Mtafute Dr Mwaka ndo kazi zake hizo.
 
Nax, mayb ua guy has an oversize 'object.

I wud advice u never to force it in. It my break ua uterus!

Confirm with a doc.
 
Nawasalimu wote wana JF,

Naombeni ushauri katika hili tafadhali, majibu ya kejeli sipendi,

Nina miaka 26, katika maisha yangu sikuwahi kufanya mapenz/sex, nina mpenz ambaye mwanzo tulikubaliana kutofanya mapenzi hadi tufunge ndoa lakini tumeshindwa kuvumilia.

Tumejaribu kufanya mapenzi zaidi ya mara 3 kwa siku tofauti bila mafanikio, yaani njia yangu ya uke ni ndogo uume umeshindwa kuingia, naombeni ushauri nini cha kufanya, sisi tumewaza labda tukamwone daktari,

Lakini kabla ya kwenda kwa daktari tafadhali naombeni ushauri wenu.

Nawasilisha,

Mwambie mpenzio atumie ky jelly hayo mafuta yapo kwenye maduka ya madawa
 
Njia nzuri subir ukishafunga ndoa Utaona inatanuka njia yenyewe hasa ukiwa Honeymoon!!!
Sasa hivi inagoma kwani si mlikubaliana mpaka mfunge ndoa na yenyewe ikasikia ikajifunga inasubir nyinyi mfunge ndo na yenyewe ifungue ndoa. Sasa hapo umekubaliana wewe na mchumba ako muanze mapenz je na zenyewe mmezishirikisha???
hahahaha no stress within JF
 
Jamaa ana govi au ndo haisimami shurti usimamishwe na support ya kamti km kale ka kusimamishia nyaya
 
Hehehe mwili ulihisi huna matumizi nako ukaamua kuanza shut down. Soma evolution bidada na ungesubiri tu hadi 30 ingebidi utafute njia mbadala.
Tatizo lako linaweza kuwa jamaa anashindwa kukutayarisha vizuri lakini pia inawezekana hymen zako (bikra) zimeshona kuliko kawaida kiasi ambacho kitu haiingi. Hii inaweza kutokea pia. Hapa inabidi umconsult gynacologist azikate physically.
Samahani ila pia unaweza kuta harufu inayotoka huko sio nzuri sababu ya damu ya hedhi kutotoka kwa ukamilifu na ww mwenyewe kushindwa kujisafisha ipasavyo.

Aseee!!! Kumbe bikra inazuia kiac damu ya hedhi??
 
Hahahaa kawaida wala usihofu endeleen kujarbu hvyo karbu kila cku pataachia tu. Imekuwa ngumu kuachia maana imekomaa mno. Hamna haja ya kwenda kwa doct komaen wenyew
 
Mwambie jamaa SAA anaweka huo mpini kwenye jembe.akupige makofi hata ma 2 ili uvumilie maumivu hayo kidogo
 
Papuchi Ya Mwanamke Mwenye Miaka 26 Hata Ndama La Ng'ombe Linapita. Acha Uongo Labda Uwe Ni Binadamu Wa Sayari Nyingine.
 
Back
Top Bottom