Tume ya Utumishi wa Umma Kenya yatangazia Umma kuapply nafasi ya DPP. Tanzania tunakwama wapi?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Tume ya Utumishi wa Umma nchini Kenya, (PSC) imekaribisha maombi ya nafasi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), ambapo waombaji wametakiwa kuwasilisha Wasifu, nakala za vyeti vya Taaluma husika, Kitambulisho cha Taifa au Pasipoti, Ushuhuda, na nyaraka nyinginezo zinazohusika kabla ya Julai 12, 2023

Miongoni mwa Vigezo vya Mwombaji ni lazima awe na shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu kinachotambulika au wawe wakili katika Mahakama Kuu ya Kenya. Pia awe na uzoefu wa Miaka 10 kama Jaji wa Mahakama ya Juu au Hakimu aliyehitimu kitaaluma, pamoja na kuwa Msomi mashuhuri

Aidha ni lazima atimize matakwa ya Sura ya Sita ya Katiba, inayomtaka kutofanya maamuzi kwa upendeleo, awe na Uadilifu wa hali ya juu na aonyeshe kiwango cha juu cha umahiri wa Kitaaluma katika tajriba za Kisheria na maisha, pamoja na kuwa na ujuzi mkubwa katika mawasiliano

Mbali na DPP, ungependa nafasi za kazi gani zitangazwe badala ya uteuzi Nchini?

Chanzo: Citizen Digital
 
Wakuu wa mikoa na wilaya
 
1.Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi.
2.Ubunge.
3.Wakuu wa wilaya/mkoa.
4.Mawaziri.
 
Tume ya Utumishi wa Umma nchini Kenya, (PSC) imekaribisha maombi ya nafasi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), ambapo waombaji wametakiwa kuwasilisha Wasifu, nakala za vyeti vya Taaluma husika, Kitambulisho cha Taifa au Pasipoti, Ushuhuda, na nyaraka nyinginezo zinazohusika kabla ya Julai 12, 2023

Miongoni mwa Vigezo vya Mwombaji ni lazima awe na shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu kinachotambulika au wawe wakili katika Mahakama Kuu ya Kenya. Pia awe na uzoefu wa Miaka 10 kama Jaji wa Mahakama ya Juu au Hakimu aliyehitimu kitaaluma, pamoja na kuwa Msomi mashuhuri

Aidha ni lazima atimize matakwa ya Sura ya Sita ya Katiba, inayomtaka kutofanya maamuzi kwa upendeleo, awe na Uadilifu wa hali ya juu na aonyeshe kiwango cha juu cha umahiri wa Kitaaluma katika tajriba za Kisheria na maisha, pamoja na kuwa na ujuzi mkubwa katika mawasiliano

Mbali na DPP, ungependa nafasi za kazi gani zitangazwe badala ya uteuzi Nchini?

Chanzo: Citizen Digital

Una maana Tanzania hii hii ya akina Paskali ?
 
Back
Top Bottom