Tume ya kova imeishia wapi?

Nsabhi

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
1,093
162
Ndugu wanaJF naomba kujuzwa hivi ile tume iliyoundwa na kamanda Kova kuchunguza watesaji wa Dr. Ulimboka imeshaanza kufanya kazi yake? Je kuna mwenyekujua hadidu za rejea anazotumia kamanda Kova? Je na ile tume iliyoundwa pia kufuatilia tishio la kudhuriwa Dr. Mwakeyembe nayo imeishiwa wapi? Je pia kamanda Kova atamhoji Dr. Ulimboka juu ya watesaji wake ambao yeye Dr. Ulimboka alikiri kuwafahamu?
Naomba kuwasilisha.
 
Wahusika hawajafa kwa hiyo kazi kwisha,wao ndo wahusika unategemea nini?

Mr Dhaifu utawala wake awamu ya pili si matakwa ya wananchi,hebu angalia ajali zinavyopishana ardh,bahari na huenda pakatokea za angani.Hukumbuki pana ndege kioo kilipasuka,na kabla hatujasahau meli baadae gari 3 za abiria na hadi awamu yake ya mwisho atapomaliza Mr Dhaifu atakuwa kuchinja wengi.
 
Picha limegoma, cd ime stuck. Walijua atakufa walete usanii wa Mkenya, jamaa alipopona wameduwaa utafikiri mchawi aliyekamatwa akitoka kuwanga.
 
Kova hata anajua ToR maana yake nini au anaunda tume na kuomba mipesa tu...wakimaliza anatoa ripoti uongo kwenye media kwisha!!anatumika vibaya sana na ataishia kutumiwa na kuachwa!mbeleko mwisho hapo hapo
 
Ilikuwa inamngoja muhusika mkuu Ulimboka aeleze vizuri pale leaders aliagana na nani na kwanini? na alikuwa na nani? na kwanini wenzake waliachwa?

Nna uhakika atatoa ushirikiano.
 
Angekufa ushirikiano ungeupata toka kwa nani?majini na ardhi tayari bado mtoe na kafara za angani nyie watawala kwa damu za watu ndo fahari yenu.o
 
Ndugu wanaJF naomba kujuzwa hivi ile tume iliyoundwa na kamanda Kova kuchunguza watesaji wa Dr. Ulimboka imeshaanza kufanya kazi yake? Je kuna mwenyekujua hadidu za rejea anazotumia kamanda Kova? Je na ile tume iliyoundwa pia kufuatilia tishio la kudhuriwa Dr. Mwakeyembe nayo imeishiwa wapi? Je pia kamanda Kova atamhoji Dr. Ulimboka juu ya watesaji wake ambao yeye Dr. Ulimboka alikiri kuwafahamu?
Naomba kuwasilisha.

Too much. Leteni episode nyingine hiyo imepitwa na wakati, Mimi naona bora Ulimboka angekufa tu, kwani ana tofauti gani na wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo ule? Hizo pesa wanazolipwa hao wana tume zingefanyakazi nyingine.

Ulimboka anavyohurumiwa hivyo, akiulizwa anajisikiaje yeye kupona huku wagonjwa wengine walifariki kutokana na mgomo ule sijui anajibu nini, kwamba yeye mungu anampenda sana kuliko wale waliofariki?
 
Kova hata anajua ToR maana yake nini au anaunda tume na kuomba mipesa tu...wakimaliza anatoa ripoti uongo kwenye media kwisha!!anatumika vibaya sana na ataishia kutumiwa na kuachwa!mbeleko mwisho hapo hapo
 
Angekufa ushirikiano ungeupata toka kwa nani?majini na ardhi tayari bado mtoe na kafara za angani nyie watawala kwa damu za watu ndo fahari yenu.o

kwa hakufa sasa? Inakera sana , mjomba angu kafa kutokana na ule mgomo, Ulimboka mimi akipita anga zangu walahi namtoa roho.
 
Kova hata anajua ToR maana yake nini au anaunda tume na kuomba mipesa tu...wakimaliza anatoa ripoti uongo kwenye media kwisha!!anatumika vibaya sana na ataishia kutumiwa na kuachwa!mbeleko mwisho hapo hapo
Kwani kova ndiye aliunda tume au anaongoza tume iliyoundwa? Hana kosa kova, ila mimi kinchoniuma ni kwa nini tume wakati Ulimbuka anastahili kunyongwa kama ni nchi za wengine kwa kuhatarisha maisha ya waanchi walio wengi na wenye haki ya kuishi.
 
Ndugu wanaJF naomba kujuzwa hivi ile tume iliyoundwa na kamanda Kova kuchunguza watesaji wa Dr. Ulimboka imeshaanza kufanya kazi yake? Je kuna mwenyekujua hadidu za rejea anazotumia kamanda Kova? Je na ile tume iliyoundwa pia kufuatilia tishio la kudhuriwa Dr. Mwakeyembe nayo imeishiwa wapi? Je pia kamanda Kova atamhoji Dr. Ulimboka juu ya watesaji wake ambao yeye Dr. Ulimboka alikiri kuwafahamu?
Naomba kuwasilisha.

Mkuu amna tume kuna kikundi cha maagizo wapo threater wanamalizia.stay tune
 
kwa hakufa sasa? Inakera sana , mjomba angu kafa kutokana na ule mgomo, Ulimboka mimi akipita anga zangu walahi namtoa roho.

Anza na Mr Dhaifu ndo chanzo cha yote,utakakuua vidagaa papa unamwogopa.Kama wewe una uchungu kweli anzia na Mr Dhaifu kwa ulaini wake.
 
kwa hakufa sasa? Inakera sana , mjomba angu kafa kutokana na ule mgomo, Ulimboka mimi akipita anga zangu walahi namtoa roho.

wewe mamaisara....mbona huwazi yanayowapata wa tz wenzio?acha ubinafsi, kwa kuwa nduguyo kafariki ndio umhukumu dr.uli? kwa taarifa yako...muhimbili wodi ya watoto, watoto 500 hufariki kila mwezi kwa kukosa dawa na vipimo muhimu, je hawa si zaidi ya huyo ndugu yako mmoja? pili,..muhimbili wodini ya akina mama....kwa siku moja akina mama 24 hupoteza maisha kwa kukosa huduma wanazohitaji ikiwemo dawa!! je huyo ndugu yako ni zaidi ya hawa wote? dr.uli anayajua yote haya na ndio maana kachoka kuona watu wanapoteza maisha miaka nenda miaka rudi kwa sababu zisizo za msingi.
 
Kwani kova ndiye aliunda tume au anaongoza tume iliyoundwa? Hana kosa kova, ila mimi kinchoniuma ni kwa nini tume wakati Ulimbuka anastahili kunyongwa kama ni nchi za wengine kwa kuhatarisha maisha ya waanchi walio wengi na wenye haki ya kuishi.

:yawn:
HERI MWANAMKE NA ANENE MANENO YA KIKE!!
 
Back
Top Bottom