Tume ya jaji Warioba kuunguruma tena tarehe 2 Novemba, Blue Pearl

Status
Not open for further replies.
Sambazia watu wengi zaidi, huu ndio uzalendo na upendo kwa Taifa letu.!!!
 

Attachments

  • 10697253_589343064522537_1682845239485552483_o.jpg
    10697253_589343064522537_1682845239485552483_o.jpg
    298.3 KB · Views: 171
WATANZANIA...

Tume ya Katiba ya Jaji Warioba itatema nyongo Jumapili tarehe 2/11 kuanzia saa 9-12 jioni.Katika Hotel ya Blue Pearl.Itarushwa live na ITV...

MSIKOSE..

Mimi tayari nipo hapa kwenye aka kativii kangu kadogo kenye uso kama wa Nyani nasubiria maneno ya hao wazalendo
 
Magamba yatakufa kwa pressure mwaka huu. Lumumba Buku saba kaeni mkao wa kula.
CC: LIZABONI,LAKI SI PESA,CHABRUMA,SIMIYU YETU,MJEPO,FAZAFOXY,RITZ,HABARI YA MUJINI,
 
Huu ni mwaka wa shetani kwa magamba,yalizoea vya kunyonga na sasa vya kuchinja hayawezi.KILA LA HERI WARIOBA NA TIMU YAKO,WATZ TUPO NYUMA YENU!
 
Jmani andaeni mageneretor kwani siku hiyo magamba hawatakubali kuhaibishwa.
 
Mungu akiwa upande wetu,ni nani aliye juu yetu? Wakijaribu kuzima umeme siku hiyo, umeme utakataa kuzimika hadi Warioba na wenzake waseme.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom