Tuliwahi kuishi ughaibuni na kurudi bila mafanikio!

***** mimi nimekulia sehemu mabro wote walikua wanandoto za kuamsha tu mbele tu .Mimi mwenyewe nimepambana sana niondoke bongoland .5m tu ikanilostisha na akili za kizamani za wanandugu.Sema sio case niko natombanisha mijusi kwenye korido kwenye korido za mahakama .
 
Mozambique napo panaitwa ughaibuni?

Hapana ni maswa maana unakata tiketi tu ya kisbo unafika bila kugonga passport yoyote na ukifika unaishi tu kwa uhuru na husumbuliwi na Renamo wala Frelimo na felipe Nyuzi na Marehemu dlakhama hawana say huko
 
Msumbiji ulienda ipi? Dar pori, mueda, pemba, montepweshi, nanyupu au mikula au ulizama maputo? Mozambique kugumu kule wanakaza wagumu sio kama zamani ukipeleka redbull na soda za kopo unapiga bao au ukimchukua binti mtwara au songea ukafungua mgahawa kupika wali na ugali unatoboa, na Zambia ulienda wapi Ndola au Kitwe au ulikomaa Lusaka? Maana warundi wao wanapigia maisha zambia kwa kufungua maduka ya gloceries ambayo ndio maduka ya bidhaa za kutumia kila siku wengi wao wamefanikiwa sana wana maisha au ukijistesheni zambia uhakikishe una mtaji uwe unafuata apple, grapes, oranges na vitunguu vikubwa vyeupe uwe unaleta kuuza Zambia khamwala, au uchukue bidhaa south za duka uwasambazie wazambia lusaka au uchukue mchele bongo ukamingle kitwe na vijiwe vingine kama wabongo wengi au uuze viatu na nguo kwa kujificha, Botswana na Nambia maisha yapo ukijituma japo mazingira ya nchi za kiafrika yanafanana tu ukienda bila code unaumbuka hasa kama umeenda bila elimu au mtaji kwa Botswana mchongo ulikua manesi na madaktari ndio wanapiga door huko waganda na wakenya wanapazingatia sana hicho kipengele wanakunja pulla za kutosha,
Mkuu sasa hvi nipo maeneo ya west hood ,lusaka west , zambia
tunasogeza siku tu
 
Binafsi nishawahi kwenye South Africa,Zambia na Kisha Mozambique kupambana kujikwamua kwenye lindi la umaskini,lakini maisha nje ya nchi yako sio rahisi aisee hasa ukiwa umeenda mikono mitupu inabidi upambane ya hela yote lkn sio mara zote ni kufanikiwa japo unakuwa unakula vizuri na kulala vizuri lakini malengo yanakuwa hayatimii!nishafeli mara kadhaa na kurudi home na kwenda kupambana tena!
Je? Wewe ushawahi kwenda nchi gani kutafuta maisha na ukakumbana na changamoto zipi?
Hivi south Africa,Zambia, Mozambique pia ni ughaibuni?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
mjomba wangu alizamia botswana .. maisha ya huko ni mazuri kuliko south. mwendo wa windoek na masauge choma tu mixer party backyard kazi kubeba box supermarket mshahara mdogo tips mpaka dollar mia kwa siku. vyakula maziwa mkate sausage bia kwa cheap. msala karudishwa kisa ugomvi bar, ugomvi wa demu. mahabusu zao mazingira safi kuku mchele maziwa full.. kurudishwa boda kasindikizwa na na askari wa bistwana, mali zake pesa zake za akiba na simu kama pc 100 kaja nazo saiv ana goli kkoo. anasema anajipanga upya lazima arudi
Botswana ilikua zamani kipindi hicho hawajabadili mambo ya vibali kuishi pale na kufanya kazi kwa wageni au kwa wageni ukioa pale ilikua wanapewa vibali vya kuishi na kufanya kazi kirahisi ukipigwa PI huwezi hata kwenda kufata kitu chochote kilicho nje ya ulipo..huyo aliamua kurudi mwenyewe na simu zake akaamua awadanganye ninyi alikua na simu 100 chini ya ulinzi harafu simu zenyewe kesi tosha...wengi wanaofutiwa vibali vya kuishi ni wale wanaokorofishana na wake zao kwa hiyo hawezi kuishi bila kibali anaamua aondoke tuu na ukiendelea kukaa bila vibali utaishia jela..
 
***** mimi nimekulia sehemu mabro wote walikua wanandoto za kuamsha tu mbele tu .Mimi mwenyewe nimepambana sana niondoke bongoland .5m tu ikanilostisha na akili za kizamani za wanandugu.Sema sio case niko natombanisha mijusi kwenye korido kwenye korido za mahakama .
Wewe jamaa bhana nimecheka sana ujue daah
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Binafsi nishawahi kwenye South Africa,Zambia na Kisha Mozambique

Kitaa huwa wanasema ughaibuni ni hadi uvuke maji...

Hata hivyo maisha ni kupambana mahali popote, ikishindikana leo bado kuna kesho, kuna keshokutwa na kuendelea...

Never say never
 
Back
Top Bottom