Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
Nyani,
Angalia ndizi isikwame kooni kwa hasira
Tulishapigwa Limbwata na Mkoloni kuwa sisi ni Uzao wa Kaanani, mtoto wa Ham ambaye alipewa laana ya milele na Babu yake Nuhu kuwa tutakuwa watumwa!
Tukaambiwa ni laana hizo ndio maana tuna nywele Kipilipili!
Loh! nimenyong'onyea...