Tukio la majambazi kupora fedha Ubungo Mataa

Matukio yamezidi sasa. Ijumaa wamepiga tukio masaki,kuna bureau pembeni ya ofisi za tigo. Hii hali inaogopesha sana.
 
Pole yake alojeruhiwa na kuporwa,maana hata polis wakiwakamata hao jamaa watabeba wao hilo beki
 
tumia akil traffic wangefanyaje wakiwa mikono mitupu? Akil yako imejaa ushabic wakisiasa hata kwenye manbo ya msingi, think BIG kama hauwez jchomoe jf haufai

Asante kwa matusi mkuu. Una miezi mitatu tu jamvini umeanza kutukana? Nimekuwepo jamvini miaka mingi na kama unaona huna la kuchangia kujenga nyamaza, huna mamlaka ya kuniambia ninafaa ama sifai. Rudi darasani ukajifunze kuandika kabla hujaanza kutoa matusi yaliyokuzidi hata umri wako!
 
Kwani hizi pikipiki zina sifa gani? Bei yake nikiasi gani?
...si ndo hizi kova alitangaza kuzikamata zote..?,aaghhh naye kova tangia atangaze kuja jf mpaka leo kimya,asa maswali yetu sijui nani atajibu, mzee kova njoo uku utoe muongozo tafadhali...
 
tumia akil traffic wangefanyaje wakiwa mikono mitupu? Akil yako imejaa ushabic wakisiasa hata kwenye manbo ya msingi, think BIG kama hauwez jchomoe jf haufai

Nashukuru kwa kumjibu.
 
Asante kwa matusi mkuu. Una miezi mitatu tu jamvini umeanza kutukana? Nimekuwepo jamvini miaka mingi na kama unaona huna la kuchangia kujenga nyamaza, huna mamlaka ya kuniambia ninafaa ama sifai. Rudi darasani ukajifunze kuandika kabla hujaanza kutoa matusi yaliyokuzidi hata umri wako!
..mkuu Kiwi jf ilishavamiwa baada ya watu kujaribu kuihujumu kwa muda mrefu kwa kuhack na kuipaka matope wakashindwa,sasa wameamua kuja live kuichafua jf kwa kuandika vitu visivyo na maana ili sifa ya jf ishuke,nadhani mods inabidi waliangalie hili na walifanyie kazi,kuna watu inaonekana wako kimkakati zaidi...
 
Inaelekea hii ni 'copycat' ya lile tukio la mwaka 2007 (?)
Polisi kazi yao kupandishana vyeo tu na kuwasambaratisha raia wasio na hatia wakifanya mikutano yao halali, suala la ulinzi na usalama wa raia ni sifuri...
Askari polisi wa usalama wa barabarani walikuwepo wanaongoza magari na majambazi wameweza kujeruhi, kupora fedha na kukimbia.
Pole sana kwa mjeruhiwa, Mwenyezi Mungu Ampe nguvu ya uponyaji!!!

Polisi wanajifunzia shabaha kwenye maandamano ya CHADEMA ila kwa majmbazi wanaingia mitini. Mipolisi ya sasa kazi yao ni kuvuta na kuuza bangi tu.
 
Kwanini transactions kama hizi isiandikwe check badala ya kubeba cash?
 
Hao wanaobeba hela nyingi mikononi siku hizi wanatoka wapi..
Benki ziko kila kona..
una hela nyingi contract security service za kubeba hela.. once umewakabidhi risk inakuwa kwao..hata zikiibiwa getini kwako watakulipa.

watu tubadilike tuache kuahangaika na cash.

Kutuma TISS ni 2 hrs hela inafika kokote Tanzania..
TT ni one day hela inafika kokote duniani..
wewe mtu unahangaika na mabegi ya hela kama sio mwenyewe umetoka kuziiba ama unataka kukweka kodi tu...
 
Wameanza tena kuvamia mungu wangu nini tena kinachoendelea hapa
 
Lile lilikuwaga babu kubwa, ilikuwa 2006, mwemnwemwe, nilikuwa karibu na ubungo

Niliwaza shoziniga katua bongo, kumbe live

la mwaka ule lilikuwa nomaaaaaa watu walikuwa wameamua aisee.....q

Inaelekea hii ni 'copycat' ya lile tukio la mwaka 2007 (?)
Polisi kazi yao kupandishana vyeo tu na kuwasambaratisha raia wasio na hatia wakifanya mikutano yao halali, suala la ulinzi na usalama wa raia ni sifuri...
Askari polisi wa usalama wa barabarani walikuwepo wanaongoza magari na majambazi wameweza kujeruhi, kupora fedha na kukimbia.
Pole sana kwa mjeruhiwa, Mwenyezi Mungu Ampe nguvu ya uponyaji!!!

Zilikuaga za NMB,nadhani ilikua kati ya mwaka 2005-07.
 
Hao wanaobeba hela nyingi mikononi siku hizi wanatoka wapi..
Benki ziko kila kona..
una hela nyingi contract security service za kubeba hela.. once umewakabidhi risk inakuwa kwao..hata zikiibiwa getini kwako watakulipa.

watu tubadilike tuache kuahangaika na cash.

Kutuma TISS ni 2 hrs hela inafika kokote Tanzania..
TT ni one day hela inafika kokote duniani..
wewe mtu unahangaika na mabegi ya hela kama sio mwenyewe umetoka kuziiba ama unataka kukweka kodi tu...
Very well said
 
Huyo naye alikuwa kazipola mahali so alikuwa anahamisha. Siku hizi kuna electronic Money kwa nini ubebe Cash kihasara hasara vile.
 
Back
Top Bottom