tukiiba tukumbuke kuacha nusu za mdhamana mahakamani..

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
ndugu wapenzi wa jf nimefarijika sana baada ya kuona huzuni zote na makelee yote ya watanzania hayajawasaidia kumshawishi raisi kuwaweka ndani wale walioiba pesa za epa na matokeo yake walioiba kabisa wamekwishapewa msamaha wa dhambi akiwamo yeye mwenyewe na pesa za UCHAGUZI WA CCM 2005,sasa kumekuja na hii ni kwa wale wanyonge waliohusishwa kwa shida zetu kwamba kama msaamaha aupo kwa raisi tukumbuke utakuja mahakamani,lah nimepata fndisho lingine baada ya kila mwizi wa epa kuambiwa apeleke nusu pesa,kama kinga ya mdhamana ,,

wito wangu kama mtapa nafasi,,ya kuiba ama serikalini na kwingineko ibeni vya kutosha ila mkumbuke ammount mlioiba kuacha nusu ya pesa kwenye acc yenye jina lingine,,mnajua siri kubwa na ambayo wananchi wanashangaa mtu kama JEETU PATEL kushindwa kulipa hata mdhamana,wale walivyoiba wakajilimbikizia mali kwa majina yao,serikali walichofanya ni kukamata malizao,ndio maana wameshindwa kutoa za mdhamana,,

wito









IBA KUMBUKA NUSU MASALIO
 
Its true

Now they (fisadis) are forced to swallow their own vomitus. It is disgusting aah!
Horeee Kikwete
 
Naona johson ameamua kuuza zile flat zake pale segerea ,,hizo serikali mali mnazosema zikwapi mnatudanganya!!!
 
Bado naona tunadangaywa tu. Rais ana nguvu ya kikatiba ya kuwashikilia hao jamaa mpaka uchunguzi ukamilike, kama kweli angetaka washikiliwe na hata dhamana wasipaye angefanya hivyo. Preventive detention act unampa nguvu za upolisi zisizo na mpaka. KWa hiyo wanaoema kuwa hao jamaa wana haki ya kikatiba ya kuomba dhamana na kupewa, wajue kuwa rais pia ana haki ya kikatiba ya kuwadetain indefinitely.
Tukubali waliyosema huko nyuma kuwa hao jamaa wakikamatwa nchi haitawaliki. Kukaa rumande kwa hao jamaa kwa siku mbili tatu halafu watolewe naona ni pre planned thing, ili kutupumbaza sisi na jumuiya ya kimataifa. Kama unadhani utani, subiri uone kama kuna mmoja atarudi tena huko.
 
Naona johson ameamua kuuza zile flat zake pale segerea ,,hizo serikali mali mnazosema zikwapi mnatudanganya!!!

usanii tu nasikia na VX zinauzwa 20mil Vogue ni 30mil. au wamewarudishia tena hizo mali ili wauze??? eti wanatafuta hela ya kuendeshea kesi sijui watahonga mahakimu au kweli ukitaka mambo yako yakunyookee nenda kajiunge na CCM sasa sijui ni CCM kikwete au CCM Lowasa? hapo utajiju.
 
usanii tu nasikia na VX zinauzwa 20mil Vogue ni 30mil. au wamewarudishia tena hizo mali ili wauze??? eti wanatafuta hela ya kuendeshea kesi sijui watahonga mahakimu au kweli ukitaka mambo yako yakunyookee nenda kajiunge na CCM sasa sijui ni CCM kikwete au CCM Lowasa? hapo utajiju.


washwasha washa moto
 
Hawa wanatudanganya tuone kuwa wamefanyia kazi suala la EPA lakini kimsingi hio ni danganya toto tu kwani hio kesi inaweza kukaa huko mahakamani hata miaka 20 je si lazima mtasahau tu. JK anajua wabongo hamuwezi kumfanya lolote anweza fanya lolote atakalo.
 
Back
Top Bottom