tukigeuka wakina mama mtafumba macho..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,493
54,900
644760_277268565716798_399714046_n.jpg

mia
 
Akinamama hawawezi kufumba macho, ushahidi ninao: Angalia yule mwisho anavyoangalia sinema ya bure.
 
Huyo wa nne kutoka kushoto vp tena au amejibana na zipu?

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Jamani mimi huyo wa nne kutoka kushoto anasikilizia nini? au mkojo unauma ana kichocho teh teh, chezea maji yaliyotuama yeye
 
wanashindana hao,umeona walivojipanga! Mshindi wa nne kutoka kushoto
 
Back
Top Bottom