Tujulishane kinanacho endelea kwenye uchanguzi nchini Uturuki.

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,452
11,372
Jamani mwenye apdate kutoka vyanzo mbali mbali kuhusu kinacho endelea kwenye uchanguzi wa raisi nchini Uturuki tufahamishane.
Ila Edorgan akinusulika kwenye uchanguzi huu itabidi akatambike kwenye mizimu ya babu zake maana anakabiliwa na upinzani usio kuwa wa kawaida, lakini pia akishinda sintashangaa maana na mwenyewe ni mafia wa kufa mtu hasa pale anapo ona mambo yanaenda ndivyo sivyo kwa upande wake.
 
Back
Top Bottom