Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

LAPTOP BEI NAFUU
CALL 0652565597
( ningependa kuwajulisha kuwa bei yetu ni nafuu mno ukitaka kujua hilo tembelea baadhi ya maduka au insta account utakuja nishukuru baadae ).

Dell latitude 7390 ( 2 in 1 )
8th Generation
Intel core i5
Touchscreen
Ram 8 gb
Storage ssd 256gb
Charge 4 hrs
Price Tsh 1,119,000


Dell latitude 3189
Rotate 360’
intel processor
Ram 8gb
Storage ssd 128gb
Touchscreen x360
Charge 4hr
Price Tsh 435,000

Lenovo n24 intel
Rotate 360’
Ram 4gb
Storage ssd 128gb
Touchscreen x360
Charge 4hr
Price Tsh 417,000


Hp Elitebook820 g3 core i5
6th Generation
Ram8gb
Storage Hdd 500gb + ssd
Processor 2.5Ghz
Charge 4hr
Price Tsh 551,000


HP Elitebook 8470P
Intel core i5
Ram4gb
Storage Hdd 320gb
Processor 2.6Ghz
screen inch 14
Price Tsh 449,500


Dell latitude 7280
7th Generation
Intel core i5
Ram 8 gb
Storage ssd 256gb
Processor 2.7Ghz
Backlight keyboard
Charge 4hr
Price Tsh 657,500


Lenovo x131 intel
Ram 4gb
Storage Hdd 320gb
Charge 3hrs
Price tsh 345,700

Hp revolve 810
Intel core i5
Ram 8gb
Storage ssd 256
Backlight keyboard
Touchscreen
Charge 3.5 hrs
Price Tsh 573,500
 
Tunapatikana Jengo la Mbezi Beach Park, Tanki Bovu.
Dar es Salaam, Tanzania.

Tunatoa huduma zifwatazo: (Attachment)

Karibuni Sana!

Social Media Banner.jpg
 
Tunauza mashine za kufulia nguo na viatu [Kilo 5, 7, 8, 12, 15 na 20], Pia tunauza night dress na bathrobes pamoja na viatu vya ndani vya kina Mama na watoto kwa bei za reja na jumla.

Duka linapatikana Kigamboni Na Mtoni Kijichi Dar es salaam.

Bei zetu ni affordable na zinaendana na hali halisi ya maisha kwa sasa.

Karibuni sana PM kwa contacts na details nyingine.
IMG_20230812_122719_839.jpg
IMG-20230327-WA0000.jpg
IMG-20230720-WA0009.jpg
20230208_164339.jpg
IMG-20220927-WA0016.jpg
 
National Commercial Directory ni tovuti inayotoa orodha ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi nyingine duniani kote.

Tovuti hii inasaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa kwa njia kadhaa, ikiwa ni pamoja na:
Kuongeza upatikanaji wa wateja.

National Commercial Directory inasaidia wafanyabiashara kuonekana na wateja wengi zaidi. Kwa kuwa tovuti hii ina watembeleaji wengi kutoka Tanzania na nchi nyingine duniani kote, wafanyabiashara wanaweza kutumia tovuti hii kuwafikia wateja wengi zaidi na kuongeza mauzo yao.
Kupunguza gharama za uuzaji. National Commercial Directory ni njia ya bure ya kuvutia wateja. Wafanyabiashara wanaweza kutumia tovuti hii ili kuorodhesha biashara zao na kuwafikia wateja wengi zaidi bila kutumia pesa nyingi kwenye uuzaji.

Kuboresha huduma kwa wateja. National Commercial Directory ( www.ncd.co.tz ) inasaidia wafanyabiashara kuboresha huduma kwa wateja kwa kutoa taarifa mbalimbali kuhusu biashara zao, kama vile anwani, namba ya simu, na tovuti. Taarifa hii inaweza kuwasaidia wateja kuwasiliana na biashara kwa urahisi zaidi na kupata taarifa wanazohitaji.

Kwa ujumla, National Commercial Directory ( www.ncd.co.tz ) ni tovuti muhimu kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Tovuti hii inasaidia wafanyabiashara kuonekana na wateja wengi zaidi, kupunguza gharama za uuzaji, na kuboresha huduma kwa wateja.
 
Back
Top Bottom