Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

Scheme kam hizi za umwagiliaji zinapatikana maeneo gani mengine nchini?..na ghalama za kukodi zinakuaje?

#MaendeleoHayanaChama
Zipo maeneo mengi ikiwemo maeneo ya Mbarali Mbeya ,Morogoro, Rudewa pamoja na sehemu zingine
 
Hekari 8 za shba zinauzwa yombo mpera zipo karibi na kitonga .Bei hekari moja milioni 4 na nusu4500000.Maelewano yapo.Kwa mawasiliano zaid ni pm.Viwanja mashamba unapata kuanzia laki 700000 na kuendelea umeme unapatikana.Bei kama bure.
 
Nahitaji mota za mashine ya kusang na kukomboa mahindi.Kama used au mpya .Pia kama kuna mtu anafahamu bei anaweza kunambia.
 
Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA
Kwa huu Uzi hajakosea ..coz ni Uzi maalumu wa kila mfanya b'ness kupost Aina ya biashara na location

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hekari 8 za shba zinauzwa yombo mpera zipo karibi na kitonga .Bei hekari moja milioni 4 na nusu4500000.Maelewano yapo.Kwa mawasiliano zaid ni pm.Viwanja mashamba unapata kuanzia laki 700000 na kuendelea umeme unapatikana.Bei kama bure.
Mkuu Hili tangazo halijitoshelezi ..... Hujaandika mkoa ...wilaya umbali kutoka barabara kuu ..bp kuhusu Hati miliki ..viwanja vimepimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hili tangazo halijitoshelezi ..... Hujaandika mkoa ...wilaya umbali kutoka barabara kuu ..bp kuhusu Hati miliki ..viwanja vimepimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanja vinapatikana mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga.ni kabla hujafika mkuranga.viwanja vimepimwa,hati unapata Km 5 njia ya mbande chamazi kutoka lami ya kitonga,pia km 10 kutoka njia ya kisemvule.Karibu sana ndugu,umeme upo.
 
Karibu kwa huduma za
1. Usajili wa kampuni BRELA & TRA
2. Kufanya Makadirio ya kodi kwa binafsi na kampuni
3. Kusajili leseni za biashara
4. Kutuma ritani za VAT, SDL, PAYEE nknk kwenye mfumo wa kieletroniki (e-filling system)
5.kuandaa financial statements
6. Ushauri pamoja na Elimu.

Niko Dsm karibuni sana.
 
Mafuta ya Alizeti toka Dodoma
0688309238
New member mwenzangu Alatwimika,, jifunze basi toka wajasiriamali waliomo humu namna ya kubandika tangazo ili kupunguza au kuondoa maswali mengi! Naomba majibu ya maswali yafuatayo: Unauza ujazo gani? Kila ujazo ni bei gani? Gharama za usafirishaji juu ya nani?
 
Simple sana

Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali

Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783
Kadu Bee Honey wauzajivwa asali bora na mbichi toka Tanzania 0657844098.
 
Back
Top Bottom