Tujikumbushe : Ndolage Nursing School

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Hii ni mahususi kwa wauguzi/wakunga/watoa huduma za afya/ n.k waliosoma Ndolage Nursing School..

Hiki chuo kilikuwa na mandhari mazuri sana ya kusoma na kujifunza na kufanya majaribio kwa vitendo.

Hiki chuo kilikuwa na walimu mahiri sana katika fani ya utoaji huduma za afya<BR><BR>Hiki chuo kilikuwa na kila kitu anachohitaji mwanafunzi..

Namkumbuka sana Mrs. Katabaro, Sr. Ruth, Sir Edel, Mwalimu Tibaijuka, Ma Joyce, e.t.c.. Jikoni kulikuwa na Mzee January, Jafesi, e.t.c !!!

Nawatakia jioni njema wana Ndolage wote popote mlipo
 
Baba_Enock wewe ni Nurse????? Nitakuja unichome sindano ya tetenasi ha ha ha ha ha
 
Nilikuja kutibiwa pale hospitali,Ndolage was the best in Kagera
 
Back
Top Bottom