Tujikumbushe dogo janja alivyokamua funga kampeni chadema..pipooooooo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
[video]http://www.facebook.com/l.php?u=http%3A%2F%2Fwww.youtu be.com%2Fwatch%3Fv%3DA7Ng3Y0fa 80%26feature%3Dplayer_embedded &h=PAQHfwcp7AQEYkLXzWqU8eRY95S Q6sBU8oqzgmB6wGzPSxQ[/video]

HUYU DOGO MANENO YOTE HAYO KAYATOA WAPI DUUUU MACHALIII KWELI NOMAAA
 
Generation Y NO FORGERY! haki hii ni kali hapa na U-CCM wangu niko hoi. Any way Hongereni maana kama CCM hatusomi hizi ishara na kujua Kizazi hiki kina-behave vipi na tukang'ang'ania ideas za kizazi chetu ambacho kinadisapear kwa kasi, haki tutaondoka na chama chetu na watakao baki8 ndani ya CCM ni watoto wetu na ndugu zetu tu ambao wanabaki sababu ya simpathy maana labda nilimsomesha au alikaa kwangu kabla ya kuanza maisha au nilimpigia pande akapata nafasi ndani ya CCM na serikalini duh....
 
kweli dogo kawakilisha , pipooooooooooooooooooooooooooooooooooz, power. mungu ibariki m4c
 
jamani wengine hatuwezi kupata vizuri hayo maneno ya dogo.mtu aliyeyakamata vizuri tuwekeeni hapa jamvini tusome twende pamoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom