Tujifunze kwa yanayotokea Afrika Kusini. Tuweke sheria Kali za umiliki wa silaha

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Ningekuwa nina nafasi ya kufanya maamuzi katika nchi hii miongoni mwa maeneo ambayo ningeyatilia mkazo ni suala la umiliki wa silaha ningehakikisha nakaza nati naweka sheria ngumu za watu kumiliki silaha, ila kwakuwa hata ujumbe wa nyumba kumi sina wacha niishie kutoa maoni.

Yanayotokea katika mataifa ambayo yamelegeza sheria ya kumiliki silaha hayapaswi kuigwa hata kidogo, hauwezi ukafungua chombo cha habari cha Afrika Kusini au Marekani huko usikutane na habari inayohusu Gun violence, kwakweli ni Hali ya kutisha wanatamani wafanye mabadiliko lakini hawana tena uwezo huo it's too late, Tanzania tujifunze na tuchukue tahadhari.
 
Silaha amezeeka Sasa.

Tanga niliona wahuni wanaunda slingshots na Mijombo, nikakaa nao nikajua ni wabobezi hata ukiwapora Jombo hujawapora umiliki wa utaalamu ule na Sheria itapindwa tu.
 
You live with a Gun,You die with a Gun,full stop! Si vizuri na salama raia wengi kua na silaaha mikononi mwao!!
 
Inawezekana tu mhona falme za kiarabu na Asia yote hatusikii huu ushamba wa guns, Kuna force kubwa sana begind hii kitu na hasa kwa blacks
 
NILIKUWA NA JAMAA YANGU ALIKUA ANAMILIKI BASTOLA BASI UNAKUTA TUPO HOTEL KULA CHAKULA BASI MARA AITOE BASTOLA AANZE KUIFUTA FUTA MARA AIWEKE KIUNONI MARA TENA AITOE KUNA ROHO IKANIAMBIA KAA NAE MBALI

URAFIKI WETU ULIISHIA HAPO SIJAWAHI WASILIANA NAE TENA

Nakazia silaha bastola ni Hatari sana hata ningekuwa ni mimi ningeweka sheria kali sana.

Maana huwezi ishi duniani humu wanadam wenzio wasi kukwaze Au kukuletea hasira tena kali ni ngumu labda ujiumbie dunia ya peke yako

Imagine mtu unagari yako mpya Nzuri Sana ile umeingia nayo Bara barani boda Boda kakukwangua Au Bajaj kakugonga Afu anakujibu shit balaa kama uwajuavyo hawa Madogo wa Bajaj na Boda Afu na wewe ndani ya Gari una bastola unazani itakuwaje

KUMILIKI BASTOLA NI HATARI HATA KWAKO MWENYEWE
 
Mkuu umefafanua vyema wenye kuona naimani wamekusoma vzr

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom